Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Kaanza kuiba way before na ndo maana kamati iliundwa lkn yeye hakuguswa. Juulize aliwezaje kuiba hlf asitumbuliwe. Tulivyokua tunamuelewa jiwe yaani pawe na ubadhirifu halafu mkurugenzi apone kweli? Kuna report ya CAG Assad ilishasema yule aondolewe na afilisiwe jumla ya mali zake dola laki 9. Aliondolewa? Jiulize kwanini?
See
Kwa dola ni chache hizo Mkuu kwa mafungu ya laki laki yanakua kumi na sita tuu...kipindi cha watu kubeba hela na safari za china watu laki tano mpaka milioni walibeba ukitambiwa unaweza kudhani ni hadithi...
Lisemwalo lipo kama halipo laja, inawezekana.
 
Kama kakutwa na pesa zote hizo ndani, lazima hii ni syndicate!! Lazima kuna watu wakubwa kwenye syndicate au njama hiyo.
 
Bado tunasafari ndefu.

View attachment 1738279

Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.

Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.

Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Yaaani hata ukiangalia hiyo picha vi macho vyake vimekaa kiwizi wizi
 
Kaanza kuiba way before na ndo maana kamati iliundwa lkn yeye hakuguswa. Juulize aliwezaje kuiba hlf asitumbuliwe. Tulivyokua tunamuelewa jiwe yaani pawe na ubadhirifu halafu mkurugenzi apone kweli? Kuna report ya CAG Assad ilishasema yule aondolewe na afilisiwe jumla ya mali zake dola laki 9. Aliondolewa? Jiulize kwanini?
Kaiba juzi kaka usidanyanywe mbele ya magu wale wamashtukiwa walitafutiwa target mtu ana accounts kibao nje asipeleke kingine wangapi mafisadi wanatumbuliwa walishawai kwend sachiwa kwao yule watu wamelengeshwa kila kitu mzigo wa juzi tu mama yupo tanga watu watoa wamaexchange kwa dollar kupunguza mzigo almost ilibaki kama siku kadhaa akadeposit nje

Kafanya vile kwa maslahi yake huenda raisi ajaye akampiga chini akachagua DG mpya kwa vile alikuwa na skendo kibao
 
Hao wzi dawa yao kuwapaua tu😄😄😄
 
Bado tunasafari ndefu.

View attachment 1738279

Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.

Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.

Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Mimi naona haiingii akilini.
Malipo yote Bandarini ni ya kielectroniki.
Atawezaje kuiba kiasi hicho?
Kwamba alienda kuzitoa Benki akaziweka nyumbani?
Haiingii akilini
 
sasa za nini zote hizo? uroho tuu mwisho wanakufa wanaziacha

"Hapana huo ni uongo, hizo taarifa za kukutwa na fedha nyumbani kwake sio sahihi, ni watu nadhani pengine ni maadui zake wanajaribu kutengeneza hoja za kuonyesha alikuwa na hizo hela, KAKOKO anashikiliwa na sisi TAKUKURU hilo halina ubishi" Brigedia Generali Mbungo, Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU
 
Jiwe na maswahiba wake ndio walikuwa mababu wa ufisadi .
Screenshot_20210330-153551.png
Screenshot_20210330-153537.png
Screenshot_20210329-172807.png
Screenshot_20210329-000711.png
Screenshot_20210328-235751.png
 
He is just one of the not-so-smart untouchables who couldn’t visualise the end of the era.

Back
Top Bottom