Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ilikuwa haiingii akilini kabisa!Thats a plot sidhani kama ni kweli mzee. Kwamba jamaa akutwe na hela kizembeš
Kumbe ni uzushi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa haiingii akilini kabisa!Thats a plot sidhani kama ni kweli mzee. Kwamba jamaa akutwe na hela kizembeš
Ilikuwa haiingii akilini kabisa!
Kumbe ni uzushi tu.
Huenda ni za jizi la Chato unalilishabikia blindlyWho does that in this day and age?
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
SeeKaanza kuiba way before na ndo maana kamati iliundwa lkn yeye hakuguswa. Juulize aliwezaje kuiba hlf asitumbuliwe. Tulivyokua tunamuelewa jiwe yaani pawe na ubadhirifu halafu mkurugenzi apone kweli? Kuna report ya CAG Assad ilishasema yule aondolewe na afilisiwe jumla ya mali zake dola laki 9. Aliondolewa? Jiulize kwanini?
Lisemwalo lipo kama halipo laja, inawezekana.Kwa dola ni chache hizo Mkuu kwa mafungu ya laki laki yanakua kumi na sita tuu...kipindi cha watu kubeba hela na safari za china watu laki tano mpaka milioni walibeba ukitambiwa unaweza kudhani ni hadithi...
Yaaani hata ukiangalia hiyo picha vi macho vyake vimekaa kiwizi wiziBado tunasafari ndefu.
View attachment 1738279
Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.
Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.
Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Ugeni na uharaka wa mambo huoHuwezi iba pesa kizembe hivyo. Wezi wapo tu hata ukikemea wataendelea kuwepo
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kaiba juzi kaka usidanyanywe mbele ya magu wale wamashtukiwa walitafutiwa target mtu ana accounts kibao nje asipeleke kingine wangapi mafisadi wanatumbuliwa walishawai kwend sachiwa kwao yule watu wamelengeshwa kila kitu mzigo wa juzi tu mama yupo tanga watu watoa wamaexchange kwa dollar kupunguza mzigo almost ilibaki kama siku kadhaa akadeposit njeKaanza kuiba way before na ndo maana kamati iliundwa lkn yeye hakuguswa. Juulize aliwezaje kuiba hlf asitumbuliwe. Tulivyokua tunamuelewa jiwe yaani pawe na ubadhirifu halafu mkurugenzi apone kweli? Kuna report ya CAG Assad ilishasema yule aondolewe na afilisiwe jumla ya mali zake dola laki 9. Aliondolewa? Jiulize kwanini?
Mimi naona haiingii akilini.Bado tunasafari ndefu.
View attachment 1738279
Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.
Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.
Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Watu watakuona ukiwa unazichukua, unachimbia chumbani unaziba na tiles..kila mwaka unabadilisha tiles..fundi ni wewe mwenyeweMi ningechimba kaburi mbele ya nyumba yangu... halafu nazisunda humo..
Pesa zinapotea na wewe unaenda jela..so sadUgeni na uharaka wa mambo huo
Ova
sasa za nini zote hizo? uroho tuu mwisho wanakufa wanaziacha
He is just one of the not-so-smart untouchables who couldnāt visualise the end of the era.
Au sindio?Mbona kichwa chako kigumu Kama jiwe? Unaambiwa zimekutwa kwenye begi nyumbani, siyo bank kwenye account.