Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Aise hii ya mziki inaboaga sana lkn Mtu akijitokeza kusema utashangaa watu wanamhusisha na mtu asiyejua dini, mtaa wote hamskilizani wengne wametoka job za night kiwandani hapati mda wa kulala kwa kelele hizo!
Sawa kabisa mkuu hawa mapimbi muziki wao hata simu huwezi kusikiliza , nyumbani hamsikilizani , watu wamechoka wanataka kupumzika , watoto wanahitaji kujisomea ukisema unaonekana hujui dini , unachuki na mchungaji , wakati huyo mchungaji hajui chochote elimu ya dini niliyonayo mimi yeye hata robo hana , dini nilizosoma mimi yeye waumini wake hawajawahi hata kuzisikia .
 
Wendawazimu kabisaaa kasoro kuvua nguo , unakuta eti mchungaji anawaombea waende wakapate kazi za umeneja na ukurugenzi , wanaombewa wenyewe wameishia darasa la saba halafu hayo maumini yanaamini na kushangilia ameni .
Wengine wanaombewa kupata utajiri, hana kazi wala biashara kutwa anashinda kanisani
 
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24

Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa mkoa mfukoni, hasa afisa mipango miji na afisa utamaduni baada ya usiku wa leo kukesha usiku kucha akijenga kulimalizia kanisa hilo na nyumba ya mchungaji katikati ya barabara huku akitamba kuwa hawawezi kumfanya kitu chochote licha ya kujenga kwenye makazi ya watu, mchungaji huyu ameziba barabara kutoka shule ya msingi Westland kusini mwa shule kutoka magharibi kwenda mashariki

Kali kuliko Leo kanisani mchungaji na waumini wanamuombea mabaya aliyeleta taarifa hizi mtandaoni.

NB: Afisa mipango miji hebu lipeleke hilo kanisa eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya makanisa. Halafu afisa mipango miji kwanini toka uagizwe na mkurugenzi kuangalia uhalali wa shughuli zinazoendeshwa na kanisa kama ni halali na zina vibali husika wewe na afisa utamaduni hujafanya hivyo toka November mwaka jana, tukisema mchungaji Jackson kakuweka mfukoni kama anavyosema tutakuwa tunakosea?

Anyway ibada inaendelea kama kazi muziki kama wote. Mnataka wananchi wafanye nini ndio mchukue hatua.View attachment 1709503View attachment 1709506
Acha gubu
 
Labda picha haionyeshi vizuri , lakini barabara ipo inatoka Westland primary school upande wa kusini inakuja kuunga barabara inayoenda itetemia shule ya Msingi hilo kanisa ndio limeziba hapo unapoona , naweka attachment juu kwenye mada barua ya wakazi wa eneo husika na mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wa kata angalia wameini na kupitisha barua kuwa matatizo haya yapo , picha zinakuja zingine na ramani pia itawekwa hapa .
Poleni sana kwa changamoto inayowakuta. Ramani za miji au Halmashauri ziheshimiwe na watu wote na kama vipi mtumie malalamiko yenu Waziri wa Ardhi moja kwa moja kwa njia hata ya e mail atawasaidia. Serikali ya sasa ni sikivu mno
 
mkuu mbona kwenye picha naona mmepanda mahindi pia, kwani hilo eneo limebadilishwa matumizi na kua mashamba!?
Picha zipo nyingi mpaka vidio zipo naona wenye jamii forum Yao wanazizuia , ukitaka utumiwe pm .
 
Hivi ni kwa nini waislamu mnajiona so special nyie wajinga????? Acheni ufala aisee fanya yenu
Acha kutukana dini za watu we Pimbi , hakuna muislam anayeathirika na huu ujinga wenu peke yake wanaoathirika ni dini zote na kabila zote , watu wanapinga ujinga kwanza hapo hamna kanisa , hamna mungu ,yesu kristo anatajwa kuzugia tu , Hilo Ni kanisa la ibilisi , vitendo vinaonyesha au unataka tuweke picha huyo mchungaji uchwara Yuko kwa mganga wake anachanjwa madawa mikononi akipewa nguvu za giza za kuombea mapepo .
 
Poleni sana kwa changamoto inayowakuta. Ramani za miji au Halmashauri ziheshimiwe na watu wote na kama vipi mtumie malalamiko yenu Waziri wa Ardhi moja kwa moja kwa njia hata ya e mail atawasaidia. Serikali ya sasa ni sikivu mno
Mkuu tupe hiyo email address .
 
Huu Uzi ulikuwa mzuri sana kuelezea malalamiko ambayo wengi yanawakumba ya (anti-social behaviour ) za wachache either kwa imani yao au furaha yao kuleta bughudha kwa wengine...

Ila sasa naona huu uzi umebadilika umekuwa wa matusi na kutukanana (tena usikute hao watoa matusi wanajiita wema na watu wa imani) Ili tusipoteze muelekeo na tutatue matatizo yatu kama wanajamii (wenye imani tofauti) tunaojenga nchi moja (bila kuwabughudhi wengine) tungeacha matusi kurushiana shutuma na tujikite kwenye hoja za msingi
 
Huu Uzi ulikuwa mzuri sana kuelezea malalamiko ambayo wengi yanawakumba ya (anti-social behaviour ) za wachache either kwa imani yao au furaha yao kuleta bughudha kwa wengine...

Ila sasa naona huu uzi umebadilika umekuwa wa matusi na kutukanana (tena usikute hao watoa matusi wanajiita wema na watu wa imani) Ili tusipoteze muelekeo na tutatue matatizo yatu kama wanajamii (wenye imani tofauti) tunaojenga nchi moja (bila kuwabughudhi wengine) tungeacha matusi kurushiana shutuma na tujikite kwenye hoja za msingi
Sawa kabisa mkuu hao watakuwa ndio hao walokole wenyewe , wewe fikiri Kama sio wahusika kimewauma nini mpaka wameanza kutukana badala ya kujibu hoja ? Kama Wana uhakika hawajajenga barabarani si watoe ushahidi , Kama Wana kibali cha ujenzi si watoe ushahidi , kama hawapigi muziki kwa sauti kubwa sana si watoe ushahidi , maana walalamikaji wametoa ushahidi wa barua ya malalamiko iliyopitishwa na mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wa kata kuthibitisha matatizo hayo yapo kwenye mtaa huo na kata hiyo , wao walokole wamekuja na matusi badala kujibu hoja .
 
Acha gubu
Kweli mkuu ? Yaani mleta mada amuonee wivu ,gubu mchungaji aliyeishia darasa la pili? Ili awe kama yeye ? Yaani amuonee wivu ,gubu mjasilia dini ? Amuonee wivu ,gubu mchungaji ambaye Hana hata baiskeli ? Yaani amuonee wivu gubu mchungaji anayeishi Hana kazi yoyote zaidi ya kujasilia sadaka ? Simple logic but very meaningful .
 
Unataka kuingiziwa dushe?
Mjinga mmoja wewe ambaye natamani nikutie vibao. Shika jembe ukalime uokoe familia yako na umasikini acha kuwa obsessed na dini za kuletewa. Nakuona fala Sana kushupalia Imani za watu
 
Back
Top Bottom