Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

Ndugu, kama una ujasiri basi ujitahidi tu kuwashauri viongozi wako kuacha uswahili na ubabaishaji kwa watu wenye ngozi nyeupe.

Mambo ya uswahili na ubabaishaji, wafanyieni waswahili wenzenu. Wenzetu wazungu wanataka mambo yanyooke! Na siyo kupinda pinda kama mnavyotaka nyinyi.

Kirahisi tu, kocha na akili zake timamu aondoke kambini na kwenda kuwachafua kwenye vyombo vya habari nchini kwake!!!
 
Mmiliki wa timu anafahamika ni Japhet Makau, Mkurugenzi wa Fountain Gate. Ndio sababu hata timu imebadili umiliki wa jina na kuitwa Singida Fountain Gate. Kumtaja mtu mwingine ni katika kutafuta attention tu nadhani ndio sababu akakimbilia kwenye vyombo vya habari. He is not stupid!

Yaani Meidndrop kumtaja mwigulu ni kutafuta attention?[emoji38] yupo nchini ndani ya week 2 ameanza vipi kujua mwigulu anahusishwa na umiliki wa singida fountain gate mpaka amtaje , ukweli siku zote unabaki kuwa ukweli .

“The truth is incontrovertible.Malice may attack it, ignorance may deride it, but in the end ,there it is “ alisema waziri mmoja makini nenda kamwambie waziri wako wa kuunga unga hili jambo aelewe tu ukweli unabaki kuwa ukweli.
 
Salaam,

Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini.

Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu zake binafsi. Ni kweli aliondoka bila kueleza sababu kwahiyo kwetu bado tunaziona ni sababu binafsi.

Maswali machache yakinifu ya kujiuliza;

1. Je, kwanini ndani ya muda mfupi baada ya kuondoka kambini akakimbilia kujieleza kwenye vyombo vya habari? Lengo ni nini?

2. Je, ana uthibitisho wowote wa tuhuma alizozitoa? Ni kipi kinathibitisha kuwa aliyoyasema yote ni ya ukweli?

3. Amekiri hakupangiwa kikosi kabla na wakati wa mechi, kwanini alalamike kupangiwa kikosi? Kipi?

4. Madai ya kupangiwa kikosi yanachekesha: Amecheza mechi moja tu na kikosi si alipanga mwenyewe, aliingiliwa wapi?

5. Kama ni kweli aliitwa kikaoni na waajiri wake kuhojiwa, kwanini asitoe majibu ya kiufundi yeye akiwa kama mtaalamu?

6. Anasema ameutaarifu uongozi kuwa ameacha kazi, kwanini anakuwa mgumu kuandika barua rasmi kama anaamini ana sababu za msingi?

Kimsingi Sisi bado tunasubiri barua yake ya kuacha kazi au kujieleza kwanini hayupo kambini. Mambo ya utoro kazini hatutaki. Kama amepata kazi sehemu nyingine aseme, sio kwenda kutuchafua kwenye vyombo vya habari kutafuta visingizio. Kwa sasa tumechagua kakaa kimya, tuna mechi ngumu na Future FC Oktoba Mosi kule Misri. Autumie muda huu vizuri kujitafakari na kufanya maamuzi kwa kufuata utaratibu rasmi.

Pakiwa na jambo lolote klabu itatoa taarifa rasmi!
Ulitaka asiseme ukweli?
 
1. Kaenda kujieleza ili kuondoa upotoshaji uliotolewa kuwa ameenda kutatua matatizo ya kifamilia sababu uliyoitoa wewe wakati si kweli meidndrop hana matatizo ya kifamilia. Unadhani huyo ni kocha wa ndondo mpaka aache kazi atatue matatizo ya kifamilia.

2.Jamaa hajatoa tuhuma zozote zile zaidi ya kueleza ukweli wa mambo kwanini within 2 weeks ameamua kuachana na timu ambazo kaeleza kabisa sababu wewe unaziita tuhuma.

3.Amelalamika kuingiliwa majukumu yake ya ukocha kwa kuulizwa kwanini kagoma na chukwu hawajaanza match na kwanini gadiel kacheza DCM wakati ni beki akaona hapo mbele wanapoelekea watamwambia huyu acheze na huyu asicheze kitu ambacho kwa taaluma yake as profesional coach hawezi kukubali ni bora aondoke na ndicho alichofanya .

4. Wewe ndo unakuja kuchekesha humu ndani unadhani wote wana iramba kila analosema mwigulu tunaitikiaa ndio sio?. Aliingiliwa pale ambapo paliitishwa kikao akajua ni kikao cha pongezi kumbe anaenda kuulizwa kwanini kamchezesha Gadiel na si chukwu na kwanini kawaacha kina kagoma nje , ikabidi ashangaee wakina mwingulu na wengine hawapo mazoezini lakini bado wanalazimisha kupanga timu akaona hawa maboya vipi wanadhani wapo kwenye kikao cha chama hapa[emoji23]

5.Unaposema kama ni kweli aliitwa kwenye kikao unamaanisha kwamba meidndrop amedanganya kuwa kulikua hamna kikao. Sababu kazitoa yeye ndiyo kocha na muda wote anakuwa na wachezaji mazoezini na as a coach anajua how to approach the game na ndicho alichokifanya.

6. Hana haja ya kuandika barua mbona ameshajibu hilo kwenye interview aliyofanya amesema aliwaambia palepale kwenye kikao anaacha kazi na sababu ni kuingiliwa majukumu yake kama kocha na issue sio hela .
Sasa unakuja wewe pupet wa mwigulu unayepewa laki 2 na vi memo upeleke huku na kule unataka tukuamini wewe kuliko kocha ambaye alikuwa anachukua mpunga mrefu lakini amejali taaluma yake kuliko fedha , unataka tukuamini wewe kijana wa mwigulu .

7. Unaulizwa timu ni ya nan unakuja kutuletea uongo uongo na unatafuta kuaminiwa wakati meidndrop amekaa wiki 2 na anaeleza kabisa alivyopigiwa simu na kuongea na waziri wa fedha ambaye ndo real owner wa hio timu . Tatizo mmliki wa team ni specialist in failure alianza na sgd utd akafeli na sasa hii singida sijui big star sijuii fountain gate ni swala la muda tu itafeli .

Mwambie ajikite na kuitafuta dollar na si kugombania kupanga kikosi na kocha .
Mbona Simba baada ya kutoridhishwa Phiri kuweka benchi mashabiki walivunja ukimya na sasa anapewa nafasi?

Hawa wazungu msiwababaikie sana kwa kudhani kila kitu wapo sahihi.
 
Kwahio mmiliki ni Mwigulu? Naona mengine umejibu kasoro hili, au hili ndio la "kuikalia kimya?"
 
Tuache mambo yote. Je kwenye hicho kikao, Waziri alikuwepo na alikuwepo kama nani? Mbunge
 
Mbona Simba baada ya kutoridhishwa Phiri kuweka benchi mashabiki walivunja ukimya na sasa anapewa nafasi?

Hawa wazungu msiwababaikie sana kwa kudhani kila kitu wapo sahihi.

Hili sina uhakika nalo na silijuii vizuriii ila nikuulize match ya jana huyo phiri alianza ? Na ile match ya zambia alianza kama first 11? Na hata kama ameanza kipi alichofanya cha maana zaidi ya watu kukariri jina ukweli utabaki kuwa as long as coach ndo amepewa majukumu aachwe afanye mbinu anazojua yeye.

Mashabiki wanajua nini hasa mashabiki wa mpira wa bongo! Wapiga kelele tu hao. Pia hakuna sehemu kocha wa simba amelalamika kuingiliwa majukumu yake ya ukocha so it’s either way kama ameamua kuingiliwa majukumu yake ya ukocha akakubali kupanga kikosi kama wanavyomwambia viongozi or hajawahi kabisa kuingiliwa majukumu ya ukocha na kikosi anachopanga ndicho anachotaka .

So mfano wako kidogo ni hauendani na hichi kinachojadiliwa humu. Sio mfuatilaji wa mpira wa bongo ila nimeangalia saivi siku za karibuni huyo phiri still hayupo first eleven so mfano wako ni batili.

Hatupapatiki na wazungu ila tunachofurahi ni kuona jamaa kasimamia taaluma yake kuliko kukubali kupangiwa kikosi na mtu ambaye hana hata taaluma ya ukocha .
 
1. Kaenda kujieleza ili kuondoa upotoshaji uliotolewa kuwa ameenda kutatua matatizo ya kifamilia sababu uliyoitoa wewe wakati si kweli meidndrop hana matatizo ya kifamilia. Unadhani huyo ni kocha wa ndondo mpaka aache kazi atatue matatizo ya kifamilia.

2.Jamaa hajatoa tuhuma zozote zile zaidi ya kueleza ukweli wa mambo kwanini within 2 weeks ameamua kuachana na timu ambazo kaeleza kabisa sababu wewe unaziita tuhuma.

3.Amelalamika kuingiliwa majukumu yake ya ukocha kwa kuulizwa kwanini kagoma na chukwu hawajaanza match na kwanini gadiel kacheza DCM wakati ni beki akaona hapo mbele wanapoelekea watamwambia huyu acheze na huyu asicheze kitu ambacho kwa taaluma yake as profesional coach hawezi kukubali ni bora aondoke na ndicho alichofanya .

4. Wewe ndo unakuja kuchekesha humu ndani unadhani wote wana iramba kila analosema mwigulu tunaitikiaa ndio sio?. Aliingiliwa pale ambapo paliitishwa kikao akajua ni kikao cha pongezi kumbe anaenda kuulizwa kwanini kamchezesha Gadiel na si chukwu na kwanini kawaacha kina kagoma nje , ikabidi ashangaee wakina mwingulu na wengine hawapo mazoezini lakini bado wanalazimisha kupanga timu akaona hawa maboya vipi wanadhani wapo kwenye kikao cha chama hapa[emoji23]

5.Unaposema kama ni kweli aliitwa kwenye kikao unamaanisha kwamba meidndrop amedanganya kuwa kulikua hamna kikao. Sababu kazitoa yeye ndiyo kocha na muda wote anakuwa na wachezaji mazoezini na as a coach anajua how to approach the game na ndicho alichokifanya.

6. Hana haja ya kuandika barua mbona ameshajibu hilo kwenye interview aliyofanya amesema aliwaambia palepale kwenye kikao anaacha kazi na sababu ni kuingiliwa majukumu yake kama kocha na issue sio hela .
Sasa unakuja wewe pupet wa mwigulu unayepewa laki 2 na vi memo upeleke huku na kule unataka tukuamini wewe kuliko kocha ambaye alikuwa anachukua mpunga mrefu lakini amejali taaluma yake kuliko fedha , unataka tukuamini wewe kijana wa mwigulu .

7. Unaulizwa timu ni ya nan unakuja kutuletea uongo uongo na unatafuta kuaminiwa wakati meidndrop amekaa wiki 2 na anaeleza kabisa alivyopigiwa simu na kuongea na waziri wa fedha ambaye ndo real owner wa hio timu . Tatizo mmliki wa team ni specialist in failure alianza na sgd utd akafeli na sasa hii singida sijui big star sijuii fountain gate ni swala la muda tu itafeli .

Mwambie ajikite na kuitafuta dollar na si kugombania kupanga kikosi na kocha .

Wewe umeandika kwa mihemko na hujui hata unachokitetea.

1. Hatujawahi kusema popote kuwa ameenda kutatua matatizo ya kifamilia. Hii umeitoa wapi?
2. Unauita ukweli kwa ushahidi upi? Au kitu akisema mzungu kwako ndio ukweli? Hasara.
3. Bado unaandika kikasuku kwa kurudia maneno ya tuhuma yasiyo na ushahidi.
4. Same as above. Tuseme ni ukweli aliulizwa hivyo, jibu lake ni lipi? Yaani wewe dereva unaendesha gari kuelekea sehemu kwa kupitia njia ngeni, ukiulizwa mbona unapita huku unashuka ndani ya gari na kuacha funguo badala ya kusema tunapita huku kwa sababu hii na hii?
5. Hakuna hoja hapa. Iwe ameitwa au hajaitwa hakuna mashiko kwenye tuhuma.
6. Hapa umeonesha udhaifu wa uelewa. Yaani mtu aache kazi kwa maneno matupu? Unazijua sheria za mikataba ya hawa watu wa football? Hawezi kuandika kwa sababu anajua atatakiwa kulipa fidia. Ukitetea uwe na uelewa wa mambo.
7. Hili sitakulazimisha kama una jibu lako tayari. Amini unachoamini.

Yaani mtu apewe timu, apate ushindi kwenye mechi ngumu na muhimu, halafu aje apangiwe kikosi? THINK.
 
Tatizo hasa nini kilichomuondoa kocha ,hatua zipi mtachukua asiporudi?
 
Back
Top Bottom