Sakata la kushuka kwa Bei ya Mahindi: Spika Tulia na Waziri Bashe wawataka wananchi wabebe mahindi yao wakauze NFRA

Mkuu, hii nchi binafsi ilisha nishinda kitambo sana na niliamua kujitenga na kilakitu maana bila hivyo nitajikuta nafungiwa jela na watawala.
Tanganyika nakupenda kwa moyo wote... nchi nzuri Tanganyika jina lako ni tamu sana RIP Sila msangi
 
M
Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri.

Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana mtetezi. Sijamlisha maneno msikilize mwenyewe ajuza huyu .

Hoja yangu
1. Spika anawajua hao NFRA walipo na anajua wakulima wanapo tokea?

2. Hivi wawakilishi wetu kweli ni watoto wa masikini au wamezaliwa angani?

View attachment 2665814

Kwa msisitizo mmemsikia Bashe akisema kwa jeuri ikiwa NFRA wapo na mkulima akaamua kuuza mahindi kwa bei ya chini basi ametaka mwenyewe.

Bashe unaakili kweli?
Hii nchi nachoka mimi!
Mbona nyie wapumbavu hamueleweki? Si mlisema mahindi yasiuzwe nje eti inasababisha bei kupanda ndani. Sasa wamezuiia mnalalama tena. Mitanzinia ni mipumbavu hasa hili lililoleta mada
 
Pale hakuna Spika kuna shetani tupu
 
M

Mbona nyie wapumbavu hamueleweki? Si mlisema mahindi yasiuzwe nje eti inasababisha bei kupanda ndani. Sasa wamezuiia mnalalama tena. Mitanzinia ni mipumbavu hasa hili lililoleta mada
Ahsante. Ila nyie mnaakili. Ila wazazi wako njombe wanauza kwa sasa 2500 kwa debe ni kilio na msiba. Hatuombi kuuza nje ila tunaomba kujadili suala hili. Aliye lazimisha kuuza nje si bashe na tulimkataza hakusikia? Anasitisha kwa ghafla unataka tumuunge mkono. Ahsante kwa kunitukana naamini hata wabunge wetu wanamawazo kama yako. Gunia njombe ni 25000 bei ya asubuhi hii na wiki ijayo litafika 15000 kama alivyo tabiri mbunge wa mbozi.
 
Wewe umemuamini? Tatizo ni kuwa anasema bei elekezi ni kama 80000 kwa gunia wakati mbozi ilianza 120000, ikaja 100000 ikaja 80000 ikaja 60000 sauvi ni about 48000 kwa gunia na bei inashuka kila jua likizama. Hajajibu hilo ana bwabwaja tuu bila kuwasaidia wanyonge
Ujue soko ndilo linaamua bei

Uhitaji na Upatikanaji wa bidhaa ndo huamua bei
 
Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri.

Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana mtetezi. Sijamlisha maneno msikilize mwenyewe ajuza huyu .

Hoja yangu
1. Spika anawajua hao NFRA walipo na anajua wakulima wanapo tokea?

2. Hivi wawakilishi wetu kweli ni watoto wa masikini au wamezaliwa angani?

View attachment 2665814

Kwa msisitizo mmemsikia Bashe akisema kwa jeuri ikiwa NFRA wapo na mkulima akaamua kuuza mahindi kwa bei ya chini basi ametaka mwenyewe.

Bashe unaakili kweli?
Hii nchi nachoka mimi!
Government defendant!!
 
Hiki kitu nilikuwa naongea na bro kuhusu haya mambo ni ujinga mtupu gunia 1 mtu abebe kweli akauze huko, NFRA utumwa, Bashe atoke hapo.

Wafanya biashara ah mawakala mpka leo hawajalipwa pesa halafu wanakuambia eti msimu wa biashara unafungwa tar 30 mwez huu. Je, unaaza msimu mpya wakati nyuma hujamaliza madeni kweli kuna kazi hapo? Bashe must go.
 
Vip mkianza kununua kilo ya unga kwa Tsh 4000,mtarud tena kusema afunge mipaka?
Akili za kijamaa hizi kulia lia tu kupanda kwa bei ya mazao ni fursa kwa wananchi na serikali ya kuongeza uzalishaji
 
Mkuu,wananchi hao hao wanarud tena kulia pale vyakula vikipanda bei na kuanza kulaumu serikali..umesahau msimu ulio pita? Serikali pamoja na waziri wa kilimo wallitukanwa mnoo kwamba wamefanya uzembe kuruhusu mipaka..leo wamefunga wanalia tena..nini kifanyike?
 
Back
Top Bottom