Sakata la kushuka kwa Bei ya Mahindi: Spika Tulia na Waziri Bashe wawataka wananchi wabebe mahindi yao wakauze NFRA

Sakata la kushuka kwa Bei ya Mahindi: Spika Tulia na Waziri Bashe wawataka wananchi wabebe mahindi yao wakauze NFRA

Serikali imetumia mabilioni ya fedha kutoa ruzuku ya pembejeo halafu ukishavuna unataka uwe na mamlaka yote kuhusu mazao yako?Hiyo ruzuku ni fedha ya watu wote hata aambao sio wakulima na manufaa ya ruzuku ni kupunguzia gharama za maisha walaji wote

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kma nimekuelewa hiv mkuuu
 
Kuna watu wapuu*Zi sana hii nchi. Siku chache zilizopita walikuwa wanalalamika vyakula kusafirishwa nje ya nchi! Yakataka serikali ipige marufuku chakula kupekekwa nje Ili kusiwe na baa la njaa. Wakakebehi serikali kuruhusu wafanyabiashara kuleta mchele.

Serikali imeona hali tete inazuia, Sasa hivi mnapiga kelele!?
Hamjui hata Kwa hilo soko la ndani bado mahindi,maharage,mchele n.k yana bei mzuri?
 
Back
Top Bottom