MnyankoleNi mchagga sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnyankoleNi mchagga sio?
Mnyankole
Awali alikuwa wapi kukataza?Soma hapa
View attachment 2665821
hizi ni akili za ajabu sana huwezi amini kama hawa watu wamesoma na wametoka vijijini.wakulima wako vijijini NFRA wako kwenye makao makuu ya mikoa hivyo basi ni mkulima yupi anaweza kukodi gari kupeleka magunia NFRA kwa mfano pale Ruhuwiko Songea mjini,au atoke kule ludewa,manda mpaka pale njombe mjini.hivi hii inaingia akilini kweli?Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri.
Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana mtetezi. Sijamlisha maneno msikilize mwenyewe ajuza huyu .
Hoja yangu
1. Spika anawajua hao NFRA walipo na anajua wakulima wanapo tokea?
2. Hivi wawakilishi wetu kweli ni watoto wa masikini au wamezaliwa angani?
View attachment 2665814
Kwa msisitizo mmemsikia Bashe akisema kwa jeuri ikiwa NFRA wapo na mkulima akaamua kuuza mahindi kwa bei ya chini basi ametaka mwenyewe.
Bashe unaakili kweli?
Hii nchi nachoka mimi!
muuzie yeyoteeHuu ni Upumbavu watuonyesha Makete NFRA iko sehemu gani!
Wabongo hatuna jemaHatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri.
Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana mtetezi. Sijamlisha maneno msikilize mwenyewe ajuza huyu .
Hoja yangu
1. Spika anawajua hao NFRA walipo na anajua wakulima wanapo tokea?
2. Hivi wawakilishi wetu kweli ni watoto wa masikini au wamezaliwa angani?
View attachment 2665814
Kwa msisitizo mmemsikia Bashe akisema kwa jeuri ikiwa NFRA wapo na mkulima akaamua kuuza mahindi kwa bei ya chini basi ametaka mwenyewe.
Bashe unaakili kweli?
Hii nchi nachoka mimi!
Acha uzushi na uwongo wako huo, tuliomsikiliza ni wengi, Waziri alisema wafanyabiashara warasimishe hiyo shughuli yao kwa kukata leseni za biashara, kuwa na TIN, kuwa na NIDA, KUWA NA TAX CLEARANCE ili serikali iweze kudhibiti(regulate) vizuri km biashara rasmi na waweze kulipa kodi stahiki km watanzania. Nini hakijaeleweka au mmezoea biashara za magendo na ukwepaji wa kodi? Lingine waziri alisema kuna idara ya afya nchi ya jirani imewapa notice kuwa mahindi yetu yana unyevunyevu wa 18%, kwa maana wafanyabiashara wetu wakiendlea kupeleka mahindi km hayo watakuja kufungiwa hiyo biashara na hiyo nchi jirani ambayo nafikiri ni Kenya. Hebu tuwe na utamaduni wa kuisikiliza na kuiheshimu serikali ndio baba wa kila shughuli tunayofanya hapa nchiniHatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri.
Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana mtetezi. Sijamlisha maneno msikilize mwenyewe ajuza huyu .
Hoja yangu
1. Spika anawajua hao NFRA walipo na anajua wakulima wanapo tokea?
2. Hivi wawakilishi wetu kweli ni watoto wa masikini au wamezaliwa angani?
View attachment 2665814
Kwa msisitizo mmemsikia Bashe akisema kwa jeuri ikiwa NFRA wapo na mkulima akaamua kuuza mahindi kwa bei ya chini basi ametaka mwenyewe.
Bashe unaakili kweli?
Hii nchi nachoka mimi!
Huenda wakati umefika hata pamba, kahawa, korosho, karafuu tuache kuuza nje.Mama akaze buti hapo hapo hakuna kuuza nafaka au zao lolote la chakula nje ya Nchi
Acha ujuha, hawajazuia mtu kuuza mazao kokote anakotaka ila afuate taratibu zilizowekwa. NFRA ni km washindani tu ili wakulima wapate bei nzuri ya ushindani.Huu ni Upumbavu watuonyesha Makete NFRA iko sehemu gani!
Walanguzi wa nchi hii wanajifanya wakulima, shame to themSoma hapa
View attachment 2665821
Tukiacha biashara za kiholela ndo hapo mkulima anauza mahindi 600 na mfanya biashara 1500..mama ashikilie hapo hapo asiache...Biashara za holela ndio zinaleta matatizo hebu angalia kuna kipindi hadi mahindi 1500 kwa kilo na mchele hadi 3800, hii control imesaidia sana control ya bei.. Kwa sasa bei imekuwa angalau.. Mm napongeza msimamo wa serikali na waziri wake..
Yupo sahihiSoma hapa
View attachment 2665821
Nyie ni wapuuz, simlikuwa mnasema Samia amekosea kuruhusu mazao kuuzwa nje,mara bei ya chakula imepanda, sasaiv kazuia mnalaumu kkenge nyie, nyie wakatoliki acheni chuki zenuHatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri.
Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana mtetezi. Sijamlisha maneno msikilize mwenyewe ajuza huyu .
Hoja yangu
1. Spika anawajua hao NFRA walipo na anajua wakulima wanapo tokea?
2. Hivi wawakilishi wetu kweli ni watoto wa masikini au wamezaliwa angani?
View attachment 2665814
Kwa msisitizo mmemsikia Bashe akisema kwa jeuri ikiwa NFRA wapo na mkulima akaamua kuuza mahindi kwa bei ya chini basi ametaka mwenyewe.
Bashe unaakili kweli?
Hii nchi nachoka mimi!
Kama hawezi kukodi gari kupeleka magunia NFRA Sasa anawezaje kuyabeba mahindi Kwa malori mpaka mipakani TUNDUMA au Namanga?au wanayabeba kwa kichwa?😂😂😂,hizi ni akili za ajabu sana huwezi amini kama hawa watu wamesoma na wametoka vijijini.wakulima wako vijijini NFRA wako kwenye makao makuu ya mikoa hivyo basi ni mkulima yupi anaweza kukodi gari kupeleka magunia NFRA kwa mfano pale Ruhuwiko Songea mjini,au atoke kule ludewa,manda mpaka pale njombe mjini.hivi hii inaingia akilini kweli?
Hii mijitu ni mitahilaM
Mbona nyie wapumbavu hamueleweki? Si mlisema mahindi yasiuzwe nje eti inasababisha bei kupanda ndani. Sasa wamezuiia mnalalama tena. Mitanzinia ni mipumbavu hasa hili lililoleta mada
Wapuuz hawaWabongo hatuna jema