Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri.
Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana mtetezi. Sijamlisha maneno msikilize mwenyewe ajuza huyu .
Hoja yangu
1. Spika anawajua hao NFRA walipo na anajua wakulima wanapo tokea?
2. Hivi wawakilishi wetu kweli ni watoto wa masikini au wamezaliwa angani?
View attachment 2665814
Kwa msisitizo mmemsikia Bashe akisema kwa jeuri ikiwa NFRA wapo na mkulima akaamua kuuza mahindi kwa bei ya chini basi ametaka mwenyewe.
Bashe unaakili kweli?
Hii nchi nachoka mimi!