Sakata la kushuka kwa Bei ya Mahindi: Spika Tulia na Waziri Bashe wawataka wananchi wabebe mahindi yao wakauze NFRA

Kma nimekuelewa hiv mkuuu
 
Kuna watu wapuu*Zi sana hii nchi. Siku chache zilizopita walikuwa wanalalamika vyakula kusafirishwa nje ya nchi! Yakataka serikali ipige marufuku chakula kupekekwa nje Ili kusiwe na baa la njaa. Wakakebehi serikali kuruhusu wafanyabiashara kuleta mchele.

Serikali imeona hali tete inazuia, Sasa hivi mnapiga kelele!?
Hamjui hata Kwa hilo soko la ndani bado mahindi,maharage,mchele n.k yana bei mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…