Sakata la Lissu v Tigo: Serikali haitahusika kama hakuna barua za Serikali kwenda Tigo

Ooh, kumbe...

Bila shaka hawa ni wajinga sana maana wanamlinda mwovu na uovu wake kwa gharama ya mauti yao....!!

Kipindi cha JIWE alifanya mambo ya kutisha kuwafurahisha wakubwa ,we huogopi hadi USA wamemlima BAN kutokana na matendo yake ya kunyima haki ya kuishi baadhi ya watu.(KUUA).
 
..hata kama ikiwepo barua, bado mahakama itachambua ushahidi, ili kujiridhisha kama barua hiyo ilifuata taratibu za kisheria, zinazohusu masuala ya kampuni ya mawasiliano kutoa taarifa za mteja.
 
Good questions..

Kilichofanyika dhidi ya Tundu Lissu ni uhalifu wa kidola kwa maana ya aidha dola kwa ujumla wake au baadhi ya watu wa dola kwa namna yao na kwa matakwa yao binafsi...

Bado huo ni uhalifu tu...

Robert Heriel Mtibeli jibu maswali hayo...
 
Kwa kauli yako hii, naona umelikana rasmi andiko lako kuu (uzi wako mkuu)..

Hongera sana kwa kuwa wewe ni mtu wa kuelewa haraka na kujisahihisha...

Si sawa na watu hawa comte na Joseph Ludovick ambao wakishikilia uongo, watakomaa nao mpaka kaburini...
 
"Maprofesa" wengine wa UVCCM wagumu kuelewa ni hawa comte, Joseph Ludovick, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah etc
 
Ndugu huwezi kuandika vizuri ukaeleweka?

Na Kwanini usifanye proof-reading kila unachoandika kabla ya kupost kwa ajili ya kuliwa na umma (for public consumption)...?

Kama kuandika tu kwa kiswahili fasaha huwezi, kisha kuhakiki na kusahihisha makosa ya uandishi, unaweza vipi kuyaelewa haya mambo ndugu mdogoye...?
 
Mahakama za wenzetu si sawa na hizi Mahakama za mchongo.

Mnufaika wa taarifa unamwekaje kando !.
Tuliza mshono bado hapajapambazuka Jogoo halijawika unakimbilia wapi vuta subra.
 
"Maprofesa" wengine wa UVCCM wagumu kuelewa ni hawa comte, Joseph Ludovick, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah etc
gentleman,
hakuna haja ya kujitabiria au kujiheshabia haki kwa kutegemea ramli, ushirikina, ushabiki wa mitandaoni, wala huruma au uchawi kwenye mambo muhimu ya wazi tena ya kisheria...

sichochewi wala kuongozwa na mahaba au hisia za kusiasa kujadili mambo ya kisheria...
 
Nikikumbuka voice ya kina January, Nape na Kinana zilivyovuja wakimsema namba moja wa kipindi kile, huenda walimtumia mtu kinyume na utaratibu na kwa kificho kufanya kazi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…