yego chikaka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 616
- 238
Ccm juu chama chetu kimeleta mapinduzi tanzania jembe na nyundo. hizi nyimbo za ulaji billion 34 ziko mifukoni eti kuna mtu alipiga mgombea mwenzake na lifimbo akalazwa hospitali kisa ulaji
Hariri hapa pia: "huilete"Hariri hiyo habari ndio huilete
Kumbe kazi ya 'shoe shiner' inalipa!Shoe shiner
mbona zanzibr katiba inaeleweka lakini bado imevunjwa? usitegemee katiba kukuokoa ww..kile ni kitabu tu kama ngosweBila katiba mpya nchi hii hata haje nani kazi bure. Mfano huu hapo juu.
Kumbe kazi ya 'shoe shiner' inalipa!
Halafu itaishia kama ile movie ya BOT boy(Balali)Hii movie haina tofauti na ile ya bumbuli boy.
Mkuu samahani nnaomba utusaidie hapa ,kama hali ndio hii wananchi wanayo nafasi gani kisheria katika hili ukizingatia walio ibiwa ni wao!?
Mkuu hapa kuna hoja mbili. Kwanza, lazima wananchi wawezeshwe kupata ukweli wa tukio zima ili kupitia wanasheria waweze kubaini kama kuna tatizo
Pili, wananchi wana haki ya kuishtaki serikali mahakamani
Yapo matatizo ya aina mbili
Moja, hali iliyopo ni kutaka kufunika ukweli kwa kutumia vyombo na mamlaka zinazohusika.
Dana dana inayoendelea inaeleza ugumu wa kupata ukweli. Utakwendaje mahakamani ukiwa huna ukweli mkononi? Ukiamua kwenda kutafuta haki ya kupata ukweli, la pili litajitokeza
Pili, zitatumika mbinu za kuhakikisha mahakama haikupi uwezo wa kupata ukweli. Hapa ieleweke mahakama haina tatizo, bali mbinu za kiufundi zitakazo ilazimu mahakama kusimamia sharia kama zilizvyo. Nikupe mfano
Yupo mwanasiasa aliyedhuriwa na watu kwasababu za kisiasa. Alipotaka kutaja wahusika , walikamatwa watu wawili watatu na suala likawa mahakamani. Hadi leo hatujui ukweli na uchhunguzi unaendelea
Suala hili limechukuliwa na bunge, hivyo hoja ya kuingilia mihimili inaweza kutumika
Na katika bunge kamati ya ulinzi, usalama na mambo ya nje imekiri kushiriki
Mwisho, unamkymba Katabalo ?
Hapo chacha...hili ndio swali kuu la kujiuliza, sisi wananchi ni veeeepe? mbona tupo tupo tu miaka nenda miaka rudi?
re: tunisia, morocco, south africa, brazili...
Walahi sisi wananchi ndio tatizo, sisi ndio tunaoliangusha hili taifa. Ni kwanini TUSIDAI katiba? angalau hata kama ile warioba?
Mkuu mbona umeandika mada kishabiki sana,visasi sana?HAKI IMETENDEKA???
Aliyemuita rais bwege kakamatwa jana na kafikishwa mahakamani.
Naomba polisi speed hii ihamie na kwa akina Lugumi, kitwanga, mwema, riz na mafisadi wote wanaolihujumu taifa langu Tanzania.
#There should be no excuse on the scandals like the one Lugumi obtained from the police. the installation of all forensic was supposed to be done between 2011 to 2014 but to our surprise only few places within dar have been supplied and installed with forensic equipments.
Serikali must act now or never and stop hoodwinking citizens about the fight against corruption.
Selective fight against corruption can't help our mother Tanzania to heal these wounds from looters within the government.
MAGUFULI ASIOGOPE THE DOWNFALL OF HIS CCM BECAUSE HUWEZI KUTAJA WEZI HALAFU USIITAJE CCM.
Nnakumbuka maneno ya Waziri wa Sheria na Katiba alisema nna nukuu "Katiba mpya sio kipaumbele ktk Serikali hii"..
Bado unatarajia kuipata ile ya mh Warioba mkuu!?.Na sijui wenye taaluma ktk Sheria wanatusaidiaje ktk kudai Katiba mpya yenye mawazo/maoni halisi kutoka kwa wananchi na sio kwa wanasiasa japo nchi yetu viongozi wake ni wanasiasa...