simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,881
Hahahahahaa mkuu icho ni chama cha majipu.Mabadiliiiiiiiiiiiikoooooooooooooooooooo! Mafufuli. M4C = Mafufuli for Chain...
Hahahahahaa mkuu icho ni chama cha majipu.Mabadiliiiiiiiiiiiikoooooooooooooooooooo! Mafufuli. M4C = Mafufuli for Chain...
Chambua kama karanga mwakwetu,chambua kama karaaaaaaanga.Baadhi ya majipu hayataguswa mkuu
katiba ya wariobaWacha warudi majimboni tuwaulize kama ndio tuliwatuma watuletee unafiki. Hivi naomba kuuliza, kama wapiga kura wanaweza kumwondoa mbunge kama hawana Imani naye!!?
Wewe unataka Mkataba utolewe lakini bunge katika tamko lake rasmi limesema halikuomba mkataba utolewe bali liliomba maelezo ya kina. Kumbuka pia maelezo ya kina yanaweza kuambatana na MkatabaMsemajiUkweli kuanzia mwanzo hoja yangu ni mkataba utolewe.
Sijahukumu kama kuna uhalifu bali mkataba utoke
Nilianza kwa kuhoji siku 3 za kuchukua faili kabatini ni za nini?
Ndipo sinema ikaanza, mara polisi, mara katibu mkuu.
Mara PAC mara kamati ya ulinzi na usalama ikapewa
Sasa bunge linatoa kauli zinazotia shaka zaidi kwamba haujafikia ulinzi na usalama
Hivi maelezo ya kina yanapatikanaje kukiwa hakuna mkataba?
Mimi nilidhani mkataba ndio maelezo ya kina
Katika hali hiyo, wasi wasi si kilichomo, ni dhamira ya kuficha ukweli.
Kwanini hili limekuwa kama 'taboo''
Ndio maana nakuuliza tena , katika mazingira tuliyo nayo ukweli unaosubiri utatoka wapi na kwanini na utaupataje?
Tumekusikia mheshimiwa Sana LugumiPAC wanajipa madaraka ambayo sio yao...hawana mamlaka ya kukagua mikataba bila idhini ya wahusika
Bunge lenye meno kibogoyo tumemsikia Aishi siku tatu mfululizo akitolea maelezo mkataba upelekwe ha ha magufuli chali hawezi kutumbua jipu la katikati ya matako
hii habari na ya uongo,kwenye tovuti ya bunge amna hii habari sasa sijui uyu kaitoa wapi.Mods naombeni mchukue hatua.
Dah poor Tanzania, haya ndo mawazo ya watu wako.. So sad.bunge kitu gani bwana..wabunge wenyewe wala rushwa wakubwa achana nao
Hahahaaa huku sawaaa kule si sawa eeeh? Ndo mtainyoosha Tanzania kwa mtindo huu?Mwenyekiti wa PAC Aishi anautaka huo mkataba kama nani..Mbona wabunge mishahara yao wanafanya siri..Mkataba ni wa siri