chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na Samia kwenye suala la kumpa teuzi makonda.
Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia
Je nani yuko na Samia!?
Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia
Je nani yuko na Samia!?