Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mgombea urais ni wewe au?Samia lupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na Samia kwenye suala la kumpa teuzi makonda.
Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia
Je nani yuko na Samia!?
Jana hadi nilimwonea huruma mama. imagine upo kwenye mkutano, alafu kijana mdogo kama yule anatamka kwamba kuna mawaziri wanawatuma watu wamtukane rais, na anawapa muda anaweza kuwataja. Na rais hajafanya chochochote, nilikuwa nategemea rais kama kamanda wa nchi, amwamrishe huyu kijana haraka awataje na alete evidence ili washughulikiwe, matokeo yake, yeye ndio anaonekana kama ndio rais, mama anaonekana wazi anaendeshwa na kijana huyu. inaumiza sana. imagine, kijana kama huyu angetamka hayo kwa JK akiwa Rais, JK angechukua hatua gani, au mkapa.Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na Samia kwenye suala la kumpa teuzi makonda.
Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia
Je nani yuko na Samia!?
Hapana Mimi ni shabiki wa samia,nataka kujua ccm watakusimamisha wewe au? 😁😁Ni wewe
Bila Makonda CCM ilikuaje kabla?Samia ameingia chaka kumrejesha makonda kwenye uongozi sasa anajuta hajui cha kufanya maana wenzake walimpa tahadhari lakini aliwapuuza sasa vita kali inaunguruma Chamani.
Mbona ni kawaida au nimesahau awamu ya 5? Kwani ni mara ya kwanza Kwa Makonda kuongea hayo?Jana hadi nilimwonea huruma mama. imagine upo kwenye mkutano, alafu kijana mdogo kama yule anatamka kwamba kuna mawaziri wanawatuma watu wamtukane rais, na anawapa muda anaweza kuwataja. Na rais hajafanya chochochote, nilikuwa nategemea rais kama kamanda wa nchi, amwamrishe huyu kijana haraka awataje na alete evidence ili washughulikiwe, matokeo yake, yeye ndio anaonekana kama ndio rais, mama anaonekana wazi anaendeshwa na kijana huyu. inaumiza sana. imagine, kijana kama huyu angetamka hayo kwa JK akiwa Rais, JK angechukua hatua gani, au mkapa.
Baada ya yule katili na muuaji huku akilazimisha kuonekana mzalendo kujiondokea zake hali ilikuwa tulivu.Bila Makonda CCM ilikuaje kabla?
Mimi sioni kosa Makonda, Makonda ndio mtu anayeonyesha uhai wa hicho chama kikawaida ikitokea Raisi anatukanwa kama vile, msemaji wa serikali au watendaji wake kama mawaziri wanatakiwa kureact but wapo kimya ndio maana Makonda akasimama.Mtamuonea sana kumsema Makonda kwenye kila kitu lakini matatizo mengi ya serikali yanasababishwa na wao kutokuwa watendaji wa mamboJana hadi nilimwonea huruma mama. imagine upo kwenye mkutano, alafu kijana mdogo kama yule anatamka kwamba kuna mawaziri wanawatuma watu wamtukane rais, na anawapa muda anaweza kuwataja. Na rais hajafanya chochochote, nilikuwa nategemea rais kama kamanda wa nchi, amwamrishe huyu kijana haraka awataje na alete evidence ili washughulikiwe, matokeo yake, yeye ndio anaonekana kama ndio rais, mama anaonekana wazi anaendeshwa na kijana huyu. inaumiza sana. imagine, kijana kama huyu angetamka hayo kwa JK akiwa Rais, JK angechukua hatua gani, au mkapa.
Bado ujajibu swali nimekuuliza kabla ya ujio wa Makonda CCM ilikuaje?Baada ya yule katili na muuaji huku akilazimisha kuonekana mzalendo kujiondokea zake hali ilikuwa tulivu.
Tupatie habari ya uhakika, wengi wanadai Mchengerwa ni mkwewe Samia, na Abdul ni mwanae Samia pia. Au unamaanisha Makonda ni mtoto pekee wa kufikia wa Samia?Ana mwanawe wa pekee makonda
Samia ni taasisi by herself akiondoka au kuondolewa hakuna taasisi!Dola inalinda taasisi, sio mtu
Ilikuwa shwariBado ujajibu swali nimekuuliza kabla ya ujio wa Makonda CCM ilikuaje?
Hili nalo neno. Sijui kwanini nimewaza jambo ambalo sijui ni zuri au baya. Huyu aweza kuwa makamo hapo mbele.
Aibu sana, atamke hayo mbele ya Nyerere, Mkapa, au JK, angekuwa safe house mpaka sasa, maana what he said ni uhainiJana hadi nilimwonea huruma mama. imagine upo kwenye mkutano, alafu kijana mdogo kama yule anatamka kwamba kuna mawaziri wanawatuma watu wamtukane rais, na anawapa muda anaweza kuwataja. Na rais hajafanya chochochote, nilikuwa nategemea rais kama kamanda wa nchi, amwamrishe huyu kijana haraka awataje na alete evidence ili washughulikiwe, matokeo yake, yeye ndio anaonekana kama ndio rais, mama anaonekana wazi anaendeshwa na kijana huyu. inaumiza sana. imagine, kijana kama huyu angetamka hayo kwa JK akiwa Rais, JK angechukua hatua gani, au mkapa.
Ilikuwa shwari lakini chama kilikuwa kimedorora baada ya kuingia Makonda ndio chama kumechangamkaIlikuwa shwari
😂😂😂😂😂😂Mimi nasimamisha bila hata CCM