Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

Samia lupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na Samia kwenye suala la kumpa teuzi makonda.

Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia

Je nani yuko na Samia!?
Na bado hamjasema... pathetic fuuul 😉
 
Unazo wewe zote hizo.

Chekelea.
 
Samia amebaki na dola!
 
Wewe ni chawa wa Mwigulu Nchemba.
Hapo Chadema Freeman, Lema, Mrema, COVID 19 nk...nk walijisalimisha kwa Mwigullu kitambo Sana 😂😂😂

Kabakia kaka yake tu Tundu Antipas Lisu ambaye anasogezwa pale NCCR mageuzi kwa Selasini

ACT wazalendo tunaye manka Naniliu

Mechi ilishaisha kitambo 😂😂😂
 
Kumbe huwa mnakutana huko siku ya mshahara
 
Samia ameingia chaka kumrejesha makonda kwenye uongozi sasa anajuta hajui cha kufanya maana wenzake walimpa tahadhari lakini aliwapuuza sasa vita kali inaunguruma Chamani.
 
Samia lupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na Samia kwenye suala la kumpa teuzi makonda.

Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia

Je nani yuko na Samia!?
Samia ana uwezo mdogo wa kufanya maamuzi sahihi
 
Makonda amewashika mafisadi pabaya !

Ngoja Tusubiri tuone !!
Fisadi yupi kwa mfano?
Makonda Hana ubavu hata wa kumkaripia mkurugenzi mwizi wa halmashauri, sembuse fisadi?
Katika ziara zake zaidi ya kuharibu magari ya serikali alitatua kero gani?
The guy is hopeless, Kama alipokua mwenezi alishindwa kumwambia rais mawaziri wanao mtukana rais, ataweza Sasa akiwa nje ya ulingo?
Makonda is a farce.
 
Back
Top Bottom