Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

Kumtukana au kufadhili kikundi au mtu kumtukana kiongozi mkubwa wa nchi ni kosa km uhaini tu.

Nashauri kwa sbb Makonda anawafahamu wanaofadhili au kumtusi kiongozi wa nchi wawekwe hadharani na kama ni viongozi ktk serikali km alivyosema Makonda ni vema ss utenguzi ufanyike ili basi kujenga nidhamu kwa wasaidizi wa Rais!!

Kuwa na watu wa aina hiyo ndani ya mfumo ni hatari sn makubwa wanaweza kuyafanya!!
 
Wakati wa JPM, kigogo na mangekimambi walitumika na hao hao mawaziri kuwafikishia taarifa za kuhujumu utawala wake. Ikafikia stage wakadukuliwa na wakaenda kuomba radhi ikulu. Lengo lao lilikuwa kumtoa/kumpindua JPM na kumchafua ili wachukue madaraka. Kama lengo lao ni kuingia madarakani kwa nini wasiendelee kumchafua hata mama Samia?? Their mission has has not been done yet until it's done. Rais mwenyewe alishawahi kusema wapinzani/wabaya wake hawatatoka huko kwingine bali ndani ya CCM rejeeni hotuba zake. Kwa nini mnashangaa kauli ya Makonda?? Je, kama hao watu wapo mlitaka mmchagulie mama approach atakayoitumia kuwafikishia ujumbe hao wahaini???!!! Walikuwepo tangu kipindi Cha Nyerere, JPM, hata mama Samia anao anawasikia na wengine Kuna namna amewachukulia hatua na tunawajua na Sasa hawako kwenye cabinet yake wametupwa nje kabisa. Hizi kauli za Makonda tumwachie mama Samia na serikali yake ndo anajua zaidi kwa nini na namna ya kudeal nazo.....acheni u much know wakati you don't know what is inside the box.

what goes around comes around au unafikiri yeye hakuhusika? au umesahau alivyokuwa anamponda na kumkejeli mtangulizi wake hata kwenye international media baada ya kupoka cheo? alifika mpaka USA na kumponda mtangulizi wake kwamba kafa kwa corona na bado mambo ndiyo kwanza yameanza …
 
Hunishindi mimi,natamati wauane kabisa hawa mashetani ili nchi i

Na ndiyo tumemsikia akisema Mwigulu Nchemba ndiye anamlipa Mange Kimambi mamilioni ili amtukane Rais wetu
Duh 🙄 !
Mamilioni ??! Kweli kipato huleta majivuno !!
 
Ila la Mama kumrudisha huyu mtu bashite naona litam-cost sana sana!
Huyu mtu habebeki na ni kivuruge na sio kiongozi hata kdg!
 
Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na Samia kwenye suala la kumpa teuzi makonda.

Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia

Je nani yuko na Samia!?
Una laana kubwa sana, hebu rudia kusoma ulichoandika
 
Back
Top Bottom