Kwa hiyo arejeshwe Bashiru au Kabudi?Samia lupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na Samia kwenye suala la kumpa teuzi makonda.
Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia
Je nani yuko na Samia!?
KarmaMbona huwakemei wanaomtukana kiongozi wetu mitandaoni?
Yeye anahangaika na RC Badala ya kuhoji ukimya wa Nape na Makamba anapotukanwa Sa100.Karma
Wakati magufuli akitukanwa na mambe kimavi mlikemea humu?
Achana na Makonda,Hii nchi viongozi wafanyayo wanachekesha,wanasikitisha na kuuliza kwampigo [emoji1787][emoji20][emoji24]...
*Uchaguzi serikali za mitaa unasimamiwa na tamisemi[emoji1787][emoji20][emoji24]
Mtu na mama mkwe wake ndiyo wanaongoza ofisi ya rais,tamisemi[emoji1787][emoji20][emoji24]
*Alafu wanatumia mamilioni kwenda kwakina moringe Sokoine kusisitiza tuwe wabadhilifu na watenda haki[emoji1787][emoji20][emoji24]
*Amiro jesh mkuu na kiongozi wa chama cha mapinduzi ni mwanamke akisaidiwa na wanaume!! Wanaume wanakuwa wasaidizi wa mwanamke[emoji1787][emoji20][emoji24]
*Viongozi wanapinga uchawa lkn wanakuwa chawa wa rais[emoji1787][emoji20][emoji24]
*Kodi zetu zikifanya jambo tunaambiwa rais katoa Hela sijui kodiyetu huenda wapi[emoji1787][emoji20][emoji24]
*Rais atoka nchi yake yenye katiba yake LAKINI hataki wengine anaowatawala wapate katiba,kusudi atawale atakavyo[emoji1787][emoji20][emoji24]
*Tunapinga kupita bila kupingwa lkn chama kinakataza mtu asichukue fomu kugombea uraisi chamani.
*Sheria za uchaguzi zinazokinzana na katiba na ni wanasheria wanaolipwa mapesa meengi wamekaa kutunga Sheria hizo[emoji1787][emoji20][emoji24]
*Rais na 4R zake anateua MTUHUMIWA WA MAUAJI (USA wamesema) nakumsifu eti ulifanya kazi nzuri,unajua nachotaka ukafanye na namatumaini makubwa nawewe[emoji1787][emoji20][emoji24]
We nani yake? Nimemtaja wapi au unamuwaza yeye tuu??
Hunishindi mimi,natamati wauane kabisa hawa mashetani ili nchi iMakonda amekuwa ni kivuruge ndani ya chama. Binafsi nafarijika sana kwa namna anavyoendelea kuleta mvurugano ndani ya ccm.
Na ndiyo tumemsikia akisema Mwigulu Nchemba ndiye anamlipa Mange Kimambi mamilioni ili amtukane Rais wetuMakonda amebadilishiwa majukumu hajaondolewa na huko Arusha ndio atasikika Zaidi kuliko Nakala ππ
Kuliko kuzungukwa na wanafiki na wabadhirifu wa mali za Nchi !Akiwa na "mwanae wa pekee" inatosha
Mwigullu ndio kamrudisha Lema nchini Baada ya kumuombea kwa mamaHunishindi mimi,natamati wauane kabisa hawa mashetani ili nchi i
Na ndiyo tumemsikia akisema Mwigulu Nchemba ndiye anamlipa Mange Kimambi mamilioni ili amtukane Rais wetu