Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

Na bado hamjasema... pathetic fuuul πŸ˜‰
 
Unazo wewe zote hizo.

Chekelea.
 
Samia amebaki na dola!
 
Wewe ni chawa wa Mwigulu Nchemba.
Hapo Chadema Freeman, Lema, Mrema, COVID 19 nk...nk walijisalimisha kwa Mwigullu kitambo Sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kabakia kaka yake tu Tundu Antipas Lisu ambaye anasogezwa pale NCCR mageuzi kwa Selasini

ACT wazalendo tunaye manka Naniliu

Mechi ilishaisha kitambo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe huwa mnakutana huko siku ya mshahara
 
Samia ameingia chaka kumrejesha makonda kwenye uongozi sasa anajuta hajui cha kufanya maana wenzake walimpa tahadhari lakini aliwapuuza sasa vita kali inaunguruma Chamani.
 
Samia ana uwezo mdogo wa kufanya maamuzi sahihi
 
Makonda amewashika mafisadi pabaya !

Ngoja Tusubiri tuone !!
Fisadi yupi kwa mfano?
Makonda Hana ubavu hata wa kumkaripia mkurugenzi mwizi wa halmashauri, sembuse fisadi?
Katika ziara zake zaidi ya kuharibu magari ya serikali alitatua kero gani?
The guy is hopeless, Kama alipokua mwenezi alishindwa kumwambia rais mawaziri wanao mtukana rais, ataweza Sasa akiwa nje ya ulingo?
Makonda is a farce.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…