Mkuu hii thread yangapi?Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na Samia kwenye suala la kumpa teuzi makonda.
Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia
Je nani yuko na Samia!?
Analeta vurumai ndani ya chama tu amekuwa kivuruge na kwa bahati mbaya mwenyekiti hajajua lengo lake.Ilikuwa shwari lakini chama kilikuwa kimedorora baada ya kuingia Makonda ndio chama kumechangamka
Ngoja tuone. !Fisadi yupi kwa mfano?
Makonda Hana ubavu hata wa kumkaripia mkurugenzi mwizi wa halmashauri, sembuse fisadi?
Katika ziara zake zaidi ya kuharibu magari ya serikali alitatua kero gani?
The guy is hopeless, Kama alipokua mwenezi alishindwa kumwambia rais mawaziri wanao mtukana rais, ataweza Sasa akiwa nje ya ulingo?
Makonda is a farce.
Makonda mwenyewe ndiye anadai kuwa ni mtoto pekee wa Samia sasa sijui anamaanisha nini.Tupatie habari ya uhakika, wengi wanadai Mchengerwa ni mkwewe Samia, na Abdul ni mwanae Samia pia. Au unamaanisha Makonda ni mtoto pekee wa kufikia wa Samia?
Jinsi mnavyomchukia mwigulu mnataka kuitumia hii karata ionekane kwamba ni kweli mwigulu ndiye anayemlipa mange amtukane Rais hata kama sio mfuasi wa mwigulu lkn I can't buy it.Mimi siyo mtukanaji. Kwa nini Mwigulu amlipe Mange mamilioni ili amtukane Rais wetu?
Akili zako na bashite dam dam.Mimi sioni kosa Makonda, Makonda ndio mtu anayeonyesha uhai wa hicho chama kikawaida ikitokea Raisi anatukanwa kama vile, msemaji wa serikali au watendaji wake kama mawaziri wanatakiwa kureact but wapo kimya ndio maana Makonda akasimama.Mtamuonea sana kumsema Makonda kwenye kila kitu lakini matatizo mengi ya serikali yanasababishwa na wao kutokuwa watendaji wa mambo
Mimi sifanyi propaganda lakini maadam wameanza kuparulana wenyewe sisi wajibu wetu ni kuchochea huu moto ili wamalizane kabisa.Jinsi mnavyomchukia mwigulu mnataka kuitumia hii karata ionekane kwamba ni kweli mwigulu ndiye anayemlipa mange amtukane Rais hata kama sio mfuasi wa mwigulu lkn I can't buy it.
Propaganda at its lowest level.
Mkuu umeongea kitu cha msingi sana, watu wanaendeshwa na hisia, huyu mtoa mada I'd yake nyingine ni sexless, kwenye thread za chiembe sexless hachangii na vice versa, ana chuki sana na Makonda kiasi kwamba hatumii akili. Anahisi anamjua Makonda kuliko mama Samia aliyetabiriwa na Makonda umakamu wa Raisi. Kuna vita kubwa inaendelea chinichini cha kushangaza wanaomponda Makonda hawamkemei Mange Kimambi, WHY!?, ukiunganisha dots utaelewa Kuna kituWakati wa JPM, kigogo na mangekimambi walitumika na hao hao mawaziri kuwafikishia taarifa za kuhujumu utawala wake. Ikafikia stage wakadukuliwa na wakaenda kuomba radhi ikulu. Lengo lao lilikuwa kumtoa/kumpindua JPM na kumchafua ili wachukue madaraka. Kama lengo lao ni kuingia madarakani kwa nini wasiendelee kumchafua hata mama Samia?? Their mission has has not been done yet until it's done. Rais mwenyewe alishawahi kusema wapinzani/wabaya wake hawatatoka huko kwingine bali ndani ya CCM rejeeni hotuba zake. Kwa nini mnashangaa kauli ya Makonda?? Je, kama hao watu wapo mlitaka mmchagulie mama approach atakayoitumia kuwafikishia ujumbe hao wahaini???!!! Walikuwepo tangu kipindi Cha Nyerere, JPM, hata mama Samia anao anawasikia na wengine Kuna namna amewachukulia hatua na tunawajua na Sasa hawako kwenye cabinet yake wametupwa nje kabisa. Hizi kauli za Makonda tumwachie mama Samia na serikali yake ndo anajua zaidi kwa nini na namna ya kudeal nazo.....acheni u much know wakati you don't know what is inside the box.
Huo ndio unaleta uhai wa chama wewe si umeona chama ndio kinatajwa sana na husikii tena vyama vya upinzaniAnaleta vurumai ndani ya chama tu amekuwa kivuruge na kwa bahati mbaya mwenyekiti hajajua lengo lake.
Mkuu mafisadi ndio kina nani???Makonda amewashika mafisadi pabaya !
Ngoja Tusubiri tuone !!
Kabisa lo
HakunaNani wa kukemea ccm?
Yeye mwenyewe muda wote anajifunza kuteua, kutengua na kuhamishaSamia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na Samia kwenye suala la kumpa teuzi makonda.
Makonda alisema yeye ana utii kwa kaburi, sio Samia
Je nani yuko na Samia!?
Tatizo kubwa ni katiba mbovu tuliyonayoKwamba Tatizo la hili Taifa ni Makonda ?
Nadhani Tatizo kubwa ni kuacha Ku-deal na issues za maana na kutumia muda kuhangaika na Individuals / Symptoms badala ya Root Causes...