Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

Kumtukana au kufadhili kikundi au mtu kumtukana kiongozi mkubwa wa nchi ni kosa km uhaini tu.

Nashauri kwa sbb Makonda anawafahamu wanaofadhili au kumtusi kiongozi wa nchi wawekwe hadharani na kama ni viongozi ktk serikali km alivyosema Makonda ni vema ss utenguzi ufanyike ili basi kujenga nidhamu kwa wasaidizi wa Rais!!

Kuwa na watu wa aina hiyo ndani ya mfumo ni hatari sn makubwa wanaweza kuyafanya!!
 

what goes around comes around au unafikiri yeye hakuhusika? au umesahau alivyokuwa anamponda na kumkejeli mtangulizi wake hata kwenye international media baada ya kupoka cheo? alifika mpaka USA na kumponda mtangulizi wake kwamba kafa kwa corona na bado mambo ndiyo kwanza yameanza …
 
Hunishindi mimi,natamati wauane kabisa hawa mashetani ili nchi i

Na ndiyo tumemsikia akisema Mwigulu Nchemba ndiye anamlipa Mange Kimambi mamilioni ili amtukane Rais wetu
Duh 🙄 !
Mamilioni ??! Kweli kipato huleta majivuno !!
 
Ila la Mama kumrudisha huyu mtu bashite naona litam-cost sana sana!
Huyu mtu habebeki na ni kivuruge na sio kiongozi hata kdg!
 
Una laana kubwa sana, hebu rudia kusoma ulichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…