Sakata la Mhadhiri wa Chuo Kikuu kupewa kesi ya ugaidi, Mgomo wa wafanyakazi UDOM wanukia

Tayari mgomo umeanza
 
Samia mtoto wa Kiislamu anaongoza nchi vizuri sana... Bonge la president, ni president bonge kabisa...
 
How do you take in actions some who teach politics

These people are stupid
 
Chuo Cha Udom Sikipendi naonaga ni chuo flani cha kichawachawa hivi.. Chuo flani kimekaa kinoko sana.
 
Huyo msukuma yuko sukuma gang, wajaribu kugoma waone, huyo Shija ana kiherehere amesahau ya Dr. Ulimboka? Kikwete aliwaambia wafanyakazi hata mgome wote hamfiki hata laki 5 naweza kuwafukuza wote nikaajiri upya sembuse walimu wa chuo kimoja tu? Hiyo itakuwa tiketi ya moja kwa moja wasomi wako wengi sana kesho yake wanaajiriwa! Wasipeleke siasa vyuoni. Kuhamasisha vurugu na ghasia siyo academic freedom msitumie km chaka
 
We ni poyoyo tu na mawazo yako ya kipuuzi,
 
Hakuna aliye salama, ni suala la muda tu. Hii nchi haina kiongozi hata mmoja mwenye AKILI akatoka nje akakemea huu ujinga? Yaani serikali nzima ya CCM ni wapumbavu kiasi hiki? Mnawezaje kucheza na UGAIDI?
Tuliza matako kafanye mambo yako usivamie mambo yasiyokuhusu hujui chochote
 
Ulichoandika kinasikitisha sana
 
Sijajua nani anawapa haya mawazo ya kuwaonea Watanzania ila wanatukosea sana aisee kwa hili nimeumia mno academician kuwa jela huku majambazi ya kodi zetu yakiendelea kuagiza LC 300..
 
Tatizo viherehere vinawasubua mgomo huwa hauna taarifa ukisha utolea taarifa ujue hakuna mgomo tena
 
Mambo siyo rahisi kama unavyo dhani
 
lisu alisema wakimaliza sisi wataanza na wengine.usemi wake umetimia.MIMI KAMA GEN Z NAWASHAURI WATANGANYIKA WENZANGU TUJITOKEZE KWA WINGI KABISA SIKU YA MAANDAMANO AWAMU YA PILI AMBAYO YATAKUWA MAKALI MARA TANO YA MO28 YATAKAYOFANYIKA TAREHE8/8/2026.ILI TUKOMESHE HUU UHUNI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…