Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Hapana mimi huwa nakamua sana alizeti na kutumia mafuta yake more than 10 years now sijaona hiyo kituHata mafuta yanayokobolewa mtaani mbona mwishoni ukiacha dumu muda mrefu huwa yananata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mimi huwa nakamua sana alizeti na kutumia mafuta yake more than 10 years now sijaona hiyo kituHata mafuta yanayokobolewa mtaani mbona mwishoni ukiacha dumu muda mrefu huwa yananata?
Kwanza mafuta ya alizeti juani yanafuata nini?? [emoji12]Kuna mtu juu anasema sijui chemical rnx inatokea ikianikwa Juani sijui blah blah dumu limeisha mafuta na lipo ndani jikoni hilo jua linafika saa ngapi na bado linagundi hatar sana!
Mkuu ziko mashine nzuri nowadays wanakamua na kuchuja vizuri sana... Na ikitokea kwa bahari mbaya umepata hayo yenye harufu unapoyatumia acha yachemke sanaa ndiyo uendeleeShida haya ya mtaani yanakua na harufu
mkuu hilo nimeliona pia la povuHayo ya singida ukibandika ukaange kitu yanatoa povu hilo omo inasubiri,kidumu kikiisha mabaki yake yanakua gundi,naona wameamua watumalize!
Mafuta mashine ya mtaani kitaalam hayajakamilika kwa ajili ya matumizi ya kula: ili mafuta yanayotokana na mbegu yafae kula yanatakiwa kupitia hatua mbili muhimu. Mosi, yanaapashwa kuchujwa kupitia mtambo maalum (Mechanical) na kutoa uji mzito ambao unafanana na sabuni. hatua ya pili ni kuchemsa kwa stimu ili kufikia joto la juu sana (Nafikiri ni 160c), hii huondoa viambata vya alkaloids ambacho ni kiambata kinachoweza kusababisha magonjwa. Aidha, mafuta ya mtaani yakikaa mda mrefu huchacha (Lancid), hapo huweza kutoa harufu mbaya na yanaweza kumchefua mlajinimeacha siku hizi natumia mafuta ya mashine za mtaani ila nayo kuna muda sijui wanasagiq nini mtumbo yanavuruga hatari. Mungu tuu atusaidie
yanakuwa na viambata vinavyoyafanya yachache harakaKwa sababu gani? Kwamba usipoyachemsha yanakuwa na madhara gani?
Nunua ya UarabuniNdio maana nishaacha kununua mafuta ya singida bora korie na yale ya sunflower yale mengine
Hayo yenye harufu hayajawa refinedsina hakika lakini nimejaribu kujiuliza mbona haya mafuta hayana hata ile radha ya alizeti kama mengine,yaani mafuta ya alizeti yana kiharufu fulani lakini haya mengine hata harufu ya alizeti hakuna,me nkasema labda wamekuwa more advanced kwenye uandaaji
Yapoje hayo?Nunua ya Uarabuni
Ukitaka kuyatoa harufu yaweke jikoni yapate moto ile ile yaepue afu fanya kama unayapiga maji (kama unazima moto wa mkaa) harufu itaondoka. Binafsi ile harufu naipenda, ukipata kwa wali wa jana!Shida haya ya mtaani yanakua na harufu
Ha haaaaaaa haaaaaaaaaaa haa haaaaaaaaaaa........Ukiona Kinana yuko kwenye usukuni basi tegemea kila aina ya uchafu kwenye nchi yetu.
Ukishatumia dumu unaosha au unaliacha nje bila kuosha kwa muda mrefu?Hapana mimi huwa nakamua sana alizeti na kutumia mafuta yake more than 10 years now sijaona hiyo kitu
....Dah Kazi tunayo.Huku Hexane huku maji ya maiti.. Duu