DOKEZO Sakata la Mount Meru Millers kuchakata mafuta ya kupikia kwa kutumia sumu/ chemical badala ya alizeti serikali mko wapi

DOKEZO Sakata la Mount Meru Millers kuchakata mafuta ya kupikia kwa kutumia sumu/ chemical badala ya alizeti serikali mko wapi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hata mafuta yanayokobolewa mtaani mbona mwishoni ukiacha dumu muda mrefu huwa yananata?
Hapana mimi huwa nakamua sana alizeti na kutumia mafuta yake more than 10 years now sijaona hiyo kitu
 
Kuna mtu juu anasema sijui chemical rnx inatokea ikianikwa Juani sijui blah blah dumu limeisha mafuta na lipo ndani jikoni hilo jua linafika saa ngapi na bado linagundi hatar sana!
Kwanza mafuta ya alizeti juani yanafuata nini?? [emoji12]
 
Shida haya ya mtaani yanakua na harufu
Mkuu ziko mashine nzuri nowadays wanakamua na kuchuja vizuri sana... Na ikitokea kwa bahari mbaya umepata hayo yenye harufu unapoyatumia acha yachemke sanaa ndiyo uendelee
 
nimeacha siku hizi natumia mafuta ya mashine za mtaani ila nayo kuna muda sijui wanasagiq nini mtumbo yanavuruga hatari. Mungu tuu atusaidie
Mafuta mashine ya mtaani kitaalam hayajakamilika kwa ajili ya matumizi ya kula: ili mafuta yanayotokana na mbegu yafae kula yanatakiwa kupitia hatua mbili muhimu. Mosi, yanaapashwa kuchujwa kupitia mtambo maalum (Mechanical) na kutoa uji mzito ambao unafanana na sabuni. hatua ya pili ni kuchemsa kwa stimu ili kufikia joto la juu sana (Nafikiri ni 160c), hii huondoa viambata vya alkaloids ambacho ni kiambata kinachoweza kusababisha magonjwa. Aidha, mafuta ya mtaani yakikaa mda mrefu huchacha (Lancid), hapo huweza kutoa harufu mbaya na yanaweza kumchefua mlaji
 
sina hakika lakini nimejaribu kujiuliza mbona haya mafuta hayana hata ile radha ya alizeti kama mengine,yaani mafuta ya alizeti yana kiharufu fulani lakini haya mengine hata harufu ya alizeti hakuna,me nkasema labda wamekuwa more advanced kwenye uandaaji
Hayo yenye harufu hayajawa refined
 
Shida haya ya mtaani yanakua na harufu
Ukitaka kuyatoa harufu yaweke jikoni yapate moto ile ile yaepue afu fanya kama unayapiga maji (kama unazima moto wa mkaa) harufu itaondoka. Binafsi ile harufu naipenda, ukipata kwa wali wa jana!
 
Role of Hexane in Oil Seed Extraction:
Its not surprising if you are not able to figure out how hexane is involved in extracting oil that we consume. Nothing to be apprehensive about, as food grade hexane is universally permitted for extracting oil from seeds and is safe for consumption within the prescribed permissible limits. Now lets get to the core of it by understanding hexane and the processes involved in extraction.
Hexane in Solvent extraction method

Hexane in its pure form is a colorless liquid , and its boiling point is between
50℃ – 70℃ all of which work in favor for oil extraction. To begin the process of solvent extraction, oil seeds (soybean, rapeseed etc.) are removed of impurities and dried to reduce moisture content. The next step is to crack the seeds for size reduction, they are then flattened to form flakes which increases the surface area to facilitate easier extraction. In the succeeding step food grade hexane is fed as counter current and the solvent extracts oil from the flakes. Then the solvent is evaporated from the oil solvent mixture and from the defatted flakes by exposing them to steam by direct or indirect method. The solvent is condensed to recover back hexane. The oil which is devoid of the solvent undergoes further processing to achieve commercial quality.

The oil content in the flakes after removes by solvent extraction method is only 1/2% which is far less when compared to other methods of extraction which may range anywhere between 30- 45%.

Extraction of oil from seeds is carried out by three method

  • Hydraulic press
  • Expeller pressing
  • Solvent extraction
The Solvent extraction process scores over the other two methods by the following advantages
  • Maximum oil recovery
  • Lesser working cost
  • Cheaper price tags for end users
  • Production meets demand
  • The extracted oil is low in sedimentation
  • Solvent loss is low
Why hexane for oil extraction and not other solvents?
  • Hexane has greater ability to extract oil when compared to other solvent like petroleum ether and ethyl acetate.
  • With a boiling point of 69℃ it is able to retain its liquid state at all atmospheric conditions other than for extreme climates.
  • Its reasonable volatility aids easy removal from solids and oil, using low energy.
  • When compared to other solvents hexane records the lowest skin irritation.
  • It aggressively mixes with the vegetable oil and washes it out with out disturbing fiber, protein, sugar and undesired gums.
  • It is low in odor and does not cause discomfort during exposures.
Hexane considerably scores over all other solvents and is the universally accepted chemical for solvent extraction. The method by itself uses lesser hp and maintenance is also minimal. The process flow is quiet similar with slight variation depending on the seed that’s involved in extraction. Seeds that are subjected solvent extraction process are rape seed, canola, sunflower, safflower, Soybean etc. Pure Chemicals Co. has 36 years of experience in chemical industry and is one of the largest supplier of hexane for all the big names in edible oil extraction industry that follow solvent extraction process.
 
Hapana mimi huwa nakamua sana alizeti na kutumia mafuta yake more than 10 years now sijaona hiyo kitu
Ukishatumia dumu unaosha au unaliacha nje bila kuosha kwa muda mrefu?
 
Back
Top Bottom