Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

Je! Uliwahi kuona zile picha wanazokumbatiana?
Hivi hujui kuwa ukiwa na laki 2 tu unaweza kutembea na hawa madanga ya insta regrdless sura yako iko kama wapuliza moto?
Haya mambo tuwaachiwe wao wakuu
Mkuu Kwa huyo amber Lulu hizo laki 2 ulizotaja mbn umempendelea Sana,huyo unamnywesha pombe unampakiza kwenye gari na uankula mzigo kisha unamtema

Huyo ni Malaya wa bei rahisi Tu,juzi anahojiwa na TV Fulani anakwambia wakt ana mimba ilimbidi aedit picha anazopiga na app ya kufanya tumbo liwe flat ili mradi Tu madanga yaendelee kuhudumia..alafu huyo jamaa uliyem quote anamtetea km anamjua sn
 
Hii mitoto ya insta ni malaya sana mkuu
 
Hivi naye ni msaniii wa nini?
 
Wasanii wetu Wana tabia hiyo wakishirikiana katika wimbo, uvujisha picha ili isemekane wanadate mwisho wa siku wimbo unaachiwa ili kuboost mziki wao. Picha si kithibitisho tena picha Kama zile.
Ndugu mbn unamtetea sana huyo binti..ingia page za clouds na wasafi angalia alichokuwa anaongea

Mtu anayesema eti kupata mimba kumemlostishia michongo ya madanga,tena anaongea mbele ya camera bado unamtetea

Anakuambia alikuwa anapiga picha kisha anaziedit na application ya kufanya tumbo liwe flat kisha anapost ili mradi Tu madanga yaendelee kumuhitaji,Hadi tumbo lilipokuwa kubwa ndy akaacha,bado Tu unamtetea

Alipohojiwa Kuhusu harmorapa alichojibu alikuwa mshikaji wake wa karibu ndy maana kuna picha zinasambaa wakiwa pa1 club tena zero distance jamaa kakumbatia anambusu..sasa harmorapa akisema si tuwalikuwa marafiki Bali pia niligonga,Mimi na wewe tuna uhalali gani wa kubisha..huyo demu ni kimeo usimtetee,wacha avune matunda yake
 
Hivi naye ni msaniii wa nini?
Huyo na gigy money walianza kuwa video vixens baadae wakaamua kuimba,alianza kugalagazwa tangu anafanya kazi bar yeye na mwenzie Lulu diva

Huyo gigy money alianza kuwa Malaya hata kabla hajaama kwao keko..Kwa hiyo hao no Malaya wa bei rahisi tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Tukisema hz kitu wanatupa Uvunguni tuu hawatumii mnaleta Ubishi Haya Sasa mmeyaona wenyewe
 
Ujinga sana, wakulane wao sisi tuendelee kuwatetea tu, nasisitiza kuna 99% kuwa dogo ni wa Hamorapa
 
Ila hili sakata la huyu mtoto, anayetakiwa kutoa majibu ni Amber, maan mtoto mwenyewe inasemekana wa MAJANI.
Ndo madhara ya kuwa mdangaji, kila aliyekojoa anadai mbegu ni yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamorapa amesema Yuko tayari kupima DNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…