cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata ungekua ww ungetangaza Mtoto ni wa hamo rapa hahaha hata kama ni kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata ungekua ww ungetangaza Mtoto ni wa hamo rapa hahaha hata kama ni kwel
Hii ni sawa na kupanda mbegu ya muarubaini na kutarajia kupata muembe. Kama Harmorapa ndio alitia mimba hana budi kutajwa tu kuwa ndie baba.Hata ungekua ww ungetangaza Mtoto ni wa hamo rapa hahaha hata kama ni kwel
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wanaume si hamtaki kukojoa nje, mnataka utamu wa kutapikia mugati. HahahKunasiku nilijisikia aibu sana kwa maratu, kunanyimbo ilikua inapigwa sijui nini nini.... Alafu kibwagizo kinasema eti kojoa ndani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan hadi nashangaa na mie, mbona kijana wa watu yuko vizuri tyuuh.Jamani Hamorapa ni binadamu ameumbwa na Mungu
Sawa yupo vizur lakn kwa mashauz ya amber lulu kwel jamii kwel aitangazie huyu mtoto wa harmo rapa hahaha mm napinga hata kama kwel mtoto wakeYaan hadi nashangaa na mie, mbona kijana wa watu yuko vizuri tyuuh.
🤣🤣🤣kumbe hii nayo ni breaking news
Tatzo utoto mwingi yan uje home kaka baba mweny mimba hii harmo rapa hahaha takupasua aiseeJamani Hamorapa ni binadamu ameumbwa na Mungu
Siajabu mama alipewa smart phone na Hamorapa leo anatumia nguvu kubwa kumtaka akane kuwa aliwahi kula kitumbua.Tatzo utoto mwingi yan uje home kaka baba mweny mimba hii harmo rapa hahaha takupasua aisee
Kama Dulvany na RayvannyHarmorapa na Harmonize wanefanana Sana, Hadi akili zao
Ukweli anaujua AmberluluKizazi cha vijana wapumbavu wapumbavu tu, sasa akatoe ushahidi huyo mtoto ni wake kwa maana gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupige kura[emoji38]Ila hili sakata la huyu mtoto, anayetakiwa kutoa majibu ni Amber, maan mtoto mwenyewe inasemekana wa MAJANI.
Ndo madhara ya kuwa mdangaji, kila aliyekojoa anadai mbegu ni yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nguvu kubwa inatumika kuficha ukweli, huenda Harmorapa ni baba wa mtotoWapi me DNA inaelekea mama mtoto anapenda baba awe Botion.
Naam ndio maana alimwagia ndaniJamani Hamorapa ni binadamu ameumbwa na Mungu
Haaa 😃😂😁😀😆😅😄😃kibongobongo...usishangae hata huyo Botion mtoto si yo wake,naye anatafuta kiki kama Harmorapa
Kwani nani anawadanganya kwamba mwanamke ndio ana uwezo wa kujua baba wa mtoto? Yaani mwanamke atembee na wanaume watatu ndani ya siku tatu mfululizo, atakuwaje na uwezo wa kumjua aliyempa ujauzito?Ila hili sakata la huyu mtoto, anayetakiwa kutoa majibu ni Amber, maan mtoto mwenyewe inasemekana wa MAJANI.
Ndo madhara ya kuwa mdangaji, kila aliyekojoa anadai mbegu ni yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemkojolea wengiIla hili sakata la huyu mtoto, anayetakiwa kutoa majibu ni Amber, maan mtoto mwenyewe inasemekana wa MAJANI.
Ndo madhara ya kuwa mdangaji, kila aliyekojoa anadai mbegu ni yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]