Sakata la Ngorongoro: Tundu Lissu adai vyombo vya habari vimetishwa na kunyamaza

Mods hebu hizi thread zinazohusu Ngorongoro mziunganishe na ule uzi wa jana wa Erythrocyte ili uwe uzi mmoja. Kitendo cha kujaza nyuzi karibu 5 au 10 tofauti zenye ujumbe mmoja hakiendani na utaratibu wenu wa siku zote. Tumekuwa tukiona baadhi yetu tukiandika thread inayoshabihiana na nyingine hapa JF basi thread hiyo either itaunganishwa na ile iliyotangulia kuandikwa hapa JF au itafutwa kabisa. Sasa nashangaa hizi zingine mnaziacha zijazane hapa bila sababu za msingi. Na nyinyi wahusika mme relax kabisa, kisa tu zimeandikwa na watu fulani, wa chama fulani, na zinamhusu mtu fulani. Kifupi inaonekana waandishi hao wa thread hizi wana hatimiliki ya app hii ya JF maana sio rahisi mtu wa kawaida kama mimi kuandika thread inayofanana na nyingine hapa jukwaani afu ikaachwa ijitegemee kama hivi tuonavyo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…