Sakata la Ngorongoro: Tundu Lissu adai vyombo vya habari vimetishwa na kunyamaza

Sakata la Ngorongoro: Tundu Lissu adai vyombo vya habari vimetishwa na kunyamaza

Yaani tukiona jina la lissu baadhi yetu huchanganyikiwa na kusahau mada. Je ni kweli vyombo vya habari vimeufyata kwenye hili?
 
Hakuja chombo Cha habari kilichorusha yanayoendelea ngorongoro alafu watu wanakuambia sasa hiv kuna Uhuru wa habari
 
Hawa waarabu ndo walibaka,waliwalawiti ,walaliwatesa,waliwafanya walivyotaka bibi zetu na babu zetu enzi za ukoloni,leo mnawasujudu na kuwatukuza kisa pesa,hii laana haitawaacha salama,mnaamua kuua,kujeruhi na kuhamisha wazawa kisa mwarabu,hivi mnaakili timamu,CCM hizo ndo sera zenu,Hangaya hulioni hili?
 
Lissu ujue kwamba mama anafuata katiba, "ardhi ni Mali ya serikali". Badili katiba ndipo uwe na ubavu wa kuzungumza.
 
Back
Top Bottom