Sakata la Ngorongoro: Tundu Lissu adai vyombo vya habari vimetishwa na kunyamaza

Haiwezekani,
Haiwezekani,
Huwezi lInganisha hayo, huwezi kuhalalisha GENOCIDE
GENOCIDE sio Upanuzi wa barabara, GENOCIDE ni GENOCIDE
Kuna UZI ambao umeniuzi. Nina Jazba, hayo juu ndio yaliyonitoka vidoleni- kwa kweli nimekurupuka-nina machungu.

Mh. Tundu Lissu. Nakuunga mkono ja tamko lako.
 
Unalia nini wewe , mbona nyuzi hizi hazifanani maudhui ? Acha dunia ijue unyama wenu
 
kutetea wamasaia tayari anaqualify kuwa mpinzani wa kweli?...

Yeye amejipambunua kama mpigania haki wa jamii za watanzania, sio hao Wamasai tu. Isitoshe hakuna nguvu yoyote inayotumika ili ww uamini hilo. Ni hiari yako kuamini hilo au la boss.
 
Inawezekanaje Mzanzibar , amfukuze mbara?
Wazenji huwa wanajionaga ni elites compared na Wabara. Wanajionaga wao ni kama Warabu tu. Sasa mmewapa na fimbo ya kuwatandika. Watawanyoosha kweri kweri
 
Kitu kibaya Ni vyombo vyetu vya habari....tukio hili Ni KUBWA na linaoonekana wazi eti wao kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…