Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka


Basi hao walimu ni washenzi kama walimvumilia huyu ni wanafunzi wangapi wanawavulia kufanya uhuni?

Tuamini vipi nao hawafanyi uhuni?
 

Hivi baba Jose na huyo mama wa genge wamekamatwa? [emoji3][emoji3]
 
Mkuu kwa maelezo ya Ester hata kama mimi ningekuwa mzazi wake pia hakika dunia ingepata habari kwa ambacho kingemkuta huyo mwal. Jimmy
Kwanini tunarudia zama za JK za kujuana na rushwa kutamalaki? Inauma sana😩
Ila nasema tena ilaaa..... yote haya ni sababu ya unyonge wetu wananchi, hakika tumerogwa na kurogeka haswaaa😭😭😭🙌
 
Kwa yeyeto aliyesoma na kujua maisha ya watoto wa kike. Anajua wanafanyaga nini. Kuna mengi sana. Kuendelea kujadili hili na kulipa airtime, ni kama kupoteza muda, media zinafuatilia sana utadhani linaustawi Kwa jamii. Hili lakufunika na kuachana nalo.

Kwa mazingira yoyote baba Jose, na Mama muuza wa genge, hawawezi kukwepa mkono wa Sheria. Walivyompokea walitoa taarifa wapi? Ilihali wanajua kuwa ni mtoto wa shule. Wameachwa kimya kama siyo wahusika, Mwalimu Jimmy anaangushiwa jumba bovu.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ifikie kipindi wananchi wakishajiridhisha na ushahidi upo tuingie kwenye zile zama za "USIMUACHE MCHAWI AU MWIZI AISHI" Ni moto tu
 
inafikirisha ,kama ester alibakwa kwanini hakulipoti mahali husika? kwanini akimbilie kwa baba jose badala ya kwenda kwa wazazi wake? je aliona kwababa jose ndo mahali salama pakukaa kuliko kwa wazazi wake??
 
Yani wewe ni baba wa Binti unapambana na mtu ambaye inasadika kamla Binti yako mara moja maana hamna ushahidi harafu unafumba macho kwa mtu aliyemla Binti yako mwezi mzima na ushahidi upo yaani kama alikuwa anamwingilia kwa siku mara tatu kwa siku kamla zaidi ya mara 90 kama alikuwa anapiga mabao matatu Kila anavyomwingilia kamwagia manii zaidi ya mara 270
 
Huyu binti ana viashiria vyote vya uhuni

Binti wa form 5 Ni mtu mzima kabisa

Mabinti wahuni wakinaswa wametoroka, jumba bovu huangushiwa wale walimu wanoko sn Kama njia ya kulipa kisasi.

Kwa haraka Sioni hatia ya ticha jimmy
 
Hakuna unyanyasaji uliotokea za ni kwamba Kuna mwanaume anataka kunyanyaswa ili kutakatisha uchafu wa hako ka Malaya kadogo
Kimsingi swali lako la kwanza ulilomuuliza ni zuri mno
Kwa Nini baba Jose alimficha muhanga wa ubakaji kwa siku 38 dhidi ya jamii zake zote na mwisho akamtambulisha kama mke wake mtarajiwa!?
 
Kinachooneka hapo ticha Jimmy ndo alikua ticha mnoko Sana Apo shuleni[emoji4]

Ticha ambae ameshamlala mwanafunz hawez pata guts za kumcharaza viboko hawara Yake (binti) akichelewa kwenda darasani[emoji4]

Jaribu kuwaza Hilo pia Glenn[emoji4]
 
Kwamba aliona adanganye jina na alipotoka.

Kwanini hakwenda Polisi???

Haya labda tuseme aliogopa kwenda polisi.
Sasa siku 30 zote kwanini hakurudi kwa wazazi wake ???

Haya labda tuseme alikuwa hana nauli. Sasa jamani hata kuwapigia simu?? Labda kaka, Dada, ndugu, rafiki??

Na hao wanafunzi navyofahamu huwa wanashika namba nyingi tu vichwani mwao sababu ya mawasiliano ya kificho wakiwa mashuleni.

Kwa hiyo katika frustration zake zote akaona alipokwenda ndio salama? Na hata aliposikia Waziri Mkuu kaagizwa atafutwe kwanini hakujitokeza??

Na hao waliokuwa nae kwanini hawakumpeleka Polisi???

Kwahiyo aliona hata PM haaminiki zaidi ya huyo Muuza mkaa na mama wa Genge???

Na hicho kipimo kwamba kaingiliwa haya kaingiliwa na Mwl Jimmy tutajuaje baada ya mwezi mzima kupita?

Au amekaa mwezi mzima bila kuoga ili tupate ushahidi wa tukio?

Aisee huyo binti Pia ajitafakari vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…