Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Toto liongo Sana hili
 
📌📌🌹
 
Hapa hujafikiria kama GT. Uko biased, umemhukumu Mwalimu Jimmy ambaye hajapata na yamkini hatopata nafasi kujitetea. Tatizo kubwa katika hii dunia, mtu atayeanza kuandika au kusema upupu ataaminika zaidi ya yule atakayekuja kujitetea. Najiuliza tu, ni kitu gani ambacho kimekufanya umuamini huyo binti?
 
Yaani umemhukumu moja kwa moja jimmy!! Huyo mtoto ni malaya tu anatafuta sehemu ya kuangushia upuuzi wake (kujisafisha)..

Huwenda ni kweli aliadhibiwa na huyo mwalimu au labda zilikua haziivi na huyo mwalim jimmy akawa anamuadhibu mara kwa mara ndo mtoto akajenga chuki.

Hali Hii ipo shule zote kuna walimu wanoko wanoko mfano mimi kuna teacher alinijengea bila sababu akawa ananikomoa kwa makosa ya kipuuzi tu. Hili halikubaliki lazima likemewe.

Tujiulize tu hivi huyo binti si yupo form five maana yake ni mtu mzima sio mtoto, kwa umri wake ameshajitambua sasa kwann alivobakwa akaenda kwa muuza mkaa?

Huko kwa baba Jose si alikua analiwa tu , mbona hajasema? Huyo binti ni malaya tu Kama mabinti wengi wa siku hizi walivyo.

Huyo binti kwa kuwa ameshajichafua kwa ujinga wake ameamua kutafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu ili ajisafishe kwa familia yake. Ni mwambie tu Hili halitomsafisha ila tu kwa upuuzi wake malipo ni hapa hapa kama Jimmy atakumbwa na jambo lolote.

Wazazi leeni watoto vizuri, acheni kulea watoto kipumbavu kama huyu binti, huyu binti kwa maelezo yake na hali halisi ya alipokuwa nadiriki kusema ni malaya tu hana lolote.
 
Imepita zaidi ya wiki ndio inakuja habari ya kubakwa.Alipohojiwa baada ya kupatikana hakueleza haya hadi aeleze kwenye vyombo vya habari?.Maswali ni mengi sana kuliko majibu.Inapaswa kuwa na chombo huru cha kuchunguza na kupata ukweli.Kuliko jamii kubaki kwenye ombwe hili.

Sent from my SM-M325F using JamiiForums mobile app
 
Shule zote walimu wanoko hawakosekani huwenda Jimmy ni miongoni mwa hao walimu wanoko, huwenda Jimmy alikua ana muadhibu sana binti so binti ana chuki nae sana ndoman alipotoroka akaamua kuandika kabarua kakipuuzi kuhalalisha utorokaji wake.

Naamini nina uhakika 100% huyo binti hakubakwa ila ni chuki tu kwa huyo mwalimu, sasa yamefika papaya kwa umalaya wake ndo ameamua amuangishie mwalimu ili kujisafisha kwa umalaya wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…