DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
NakaziaWatu tumeishi boarding school 6yrs, na tunajua maisha yote ya ki unafunzii, hakuna wa kudanganyika kirahisii hivyoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaWatu tumeishi boarding school 6yrs, na tunajua maisha yote ya ki unafunzii, hakuna wa kudanganyika kirahisii hivyoo.
Toto liongo Sana hiliUnajua watu wengi hanahemka bila kutumia akili mwisho wamwalibie maisha mtu mwingine na wanaume ndo huwa tunakuwa wahanga na wanawake wenye roho mbaya kama huyu Binti yaani mwalimu ambake mwanafunzi bwenini ambako wanalala wanafunzi zaidi 200 wakati Kuna probability kubwa kukamatwa na wanafunzi wengine ambao wamedoji au wasahau chochote na kurudi bwenini
📌📌🌹Unajua watu wengi hanahemka bila kutumia akili mwisho wamwalibie maisha mtu mwingine na wanaume ndo huwa tunakuwa wahanga na wanawake wenye roho mbaya kama huyu Binti yaani mwalimu ambake mwanafunzi bwenini ambako wanalala wanafunzi zaidi 200 wakati Kuna probability kubwa kukamatwa na wanafunzi wengine ambao wamedoji au wasahau chochote na kurudi bwenini
Hapa hujafikiria kama GT. Uko biased, umemhukumu Mwalimu Jimmy ambaye hajapata na yamkini hatopata nafasi kujitetea. Tatizo kubwa katika hii dunia, mtu atayeanza kuandika au kusema upupu ataaminika zaidi ya yule atakayekuja kujitetea. Najiuliza tu, ni kitu gani ambacho kimekufanya umuamini huyo binti?Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.
Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.
Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.
Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.
Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"
Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?
Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.
Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.
Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;
1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI
WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.
MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?
3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?
HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).
1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?
2. Kwanini alimtaja Jimmy?
3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?
4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?
SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.
ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.
Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.
Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.
2. Mmewakosea wazazi wote.
3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.
ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
Matatizo ya malezi mabovu na uhuni vinamweka vipi mwalimu wa watu matatani.Akili kubwa. kale ni ka Malaya kazoefu. Angalia kiduku kile kichwani. Sema tuna viongozi wenye akili ndogo sana juu chini
Kabisa mkuu binti kaamua kumuangushia mwalim jumba bovuMmeamua kumdharilisha Mwalimu
Kwa umalaya wa Mtoto wenu.
Sina imani ushuhuda wa huyo Mwanafunzi
Mrudisheni Baba Jose Mke wake.
Bro hivi kubaka unaona ni tukio dogo sana?Komenti nyingi za wanaume wenzangu zinaonyesha ushamba, ukosefu wa utu na kutokuthamini watoto na wanawake.
Hata malaya anayejiuza haihalalishi abakwe.
Ufike wakati tuheshimu watoto wetu wa kike na kuwathamini ili kuwa na walezi bora wa jamii kwa baadae.
Balaa tupu.Kabisa mkuu binti kaamua kumuangushia mwalim jumba bovu
Kabisa mkuu binti kaamua kumuangushia mwalim jumba bovuMmeamua kumdharilisha Mwalimu
Kwa umalaya wa Mtoto wenu.
Sina imani ushuhuda wa huyo Mwanafunzi
Mrudisheni Baba Jose Mke wake.
Afu ubakwe mazingira ya shule usipge kelele, kwamba bwenini hawakuwepo wengine..kwamba kubakwa imekua kitendo poa tu..khaBro hivi kubaka unaona ni tukio dogo sana?
Bro wewe ndio Baba wa huyo binti nini? Naona una uhakika walishinikizwa. Shida umeshachagua upande.Najiuliza why RC atoe maelekezo namna wazazi waongee hadi wamsifie rais?
Siasa hadi kwenye utu wa mtu?
Namshangaa sana huyu jamaa. Usijekuta ni baba wa huyo binti.Afu ubakwe mazingira ya shule usipge kelele, kwamba bwenini hawakuwepo wengine..kwamba kubakwa imekua kitendo poa tu..kha
Mwalimu anaye vumilia litoto lako huni unamwita mshenzi? Watoro wangekuwa wanafukuzwa kila watendapo kosa wachache wangebaki shuleBasi hao walimu ni washenzi kama walimvumilia huyu ni wanafunzi wangapi wanawavulia kufanya uhuni?
Tuamini vipi nao hawafanyi uhuni?
Yupo biased ndomaana haoniBro wewe ndio Baba wa huyo binti nini? Naona una uhakika walishinikizwa. Shida umeshachagua upande.
Mtoa mada hajafikiri Kama great thinkerYupo biased ndomaana haoni
Shule zote walimu wanoko hawakosekani huwenda Jimmy ni miongoni mwa hao walimu wanoko, huwenda Jimmy alikua ana muadhibu sana binti so binti ana chuki nae sana ndoman alipotoroka akaamua kuandika kabarua kakipuuzi kuhalalisha utorokaji wake.Mkuu umewahi kupatwa na jambo ukawachukia hadi wazazi wako?
Kama kuna ukweli kuwa alibakwa anaweza kujikuta anawachukia watu wote hadi wazazi waliompeleka shule.
Pili hatuoni kuwa Jimmy alitajwa tangu mwanzo alipoacha barua kabla hajatoroka?
Angemtaja Jimmy baada ya kupatikana hata mimi ningetilia shaka