Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Narudia kusema tena...hata changudoa hapaswi kubakwa.
Hofu yangu imejikita kwenye serikali kutoa maelekezo kuwa wazazi waongee nini na waache nini wakati wanadai kuwa walishudia mambo flani hayoko sawa na taarifa iliyotolewa haikuwa ya kweli.

Ujue mzazi kuamua kwenda kinyume na taarifa ya mkuu wa mkoa ni jambo zito?
Fikirini kidogo wakuu
 
LAiti mngepata kujua akili za watoto wa kike msingempa airtime Esther..tena kwa shule kama PHss...! Kifupi haiwezekani..haipo ..ametunga kutafta sympathy...
 
Hakuana lolote zaidi ya spinning. Rudisha Esther kwa Baba Jose period. Huyo ni malaya aliyekubuhu
 
Mr Q
Haijalishi mtoto huyu alikuwa akiliwa na baba Jose au la.
Haihalalishi kubakwa na mwingine.

My concern ni ubakaji wa mwalimu na RC na RPC kuwapa wazazi maelekexo ya kuongea mbele ya midia.

Why waelekezawe?
Kila la kheri. Ni muda sasa mwalimu jimmy akashitaki kwa udhakilishaji anaofanyiwa na huyo mtoto na ndugu na alipwe.
 
Toka o level mpaka a level sijawahi kuona ticha wa kike Dom kwetu why kwao mkaguzi wa ma bweni ya kike awe ticha wa kiume na siyo matrons wakuu au tuko kwa bongo drama kama kawaida yetu watanganyika
Ndio maana Wazanzibar wanaiuza Tanganyika mdogo mdogo huku vichwa vimeharibiwa na ugali
 
Kila la kheri. Ni muda sasa mwalimu jimmy akashitaki kwa udhakilishaji anaofanyiwa na huyo mtoto na ndugu na alipwe.
Muda utasema na aliingiaje bwenini?
 
Glenn usihangaike na ishu ya esther ..naaijua vyema hiyo shule . Ni kama tu St Francis .mie atanisumbua akili mtoto wa kiume ila sio wa kike .mtoto wa kike akiongea maneno 20 hebu jilazimishe maneno 5 ni ya ukweli..esp kama unasoma boarding

Hivi wewe glenn humuoni hata usoni tu esther anaficha vitu? Kila muda anajiliza tu kijinga jinga! Angalia kiduku kile..mtoto anaypenda shule na smart hiwez mkuta na kiduku aise..
Na watu wamesema hii ni mara ya 2 esther anatoroka ..mara ya kwanza alikua kwao...
Kaa mbali kabisa na watoto wa kike mkuu...wakitunga jambo utaamini!huyo achapwe fimbo tu.. tr Jimmy tumpumzishe
 
Mama angu tena kaja vipi hapa?
Umeanza matusi tena
Huna hoja za msingi kuhusu umalaya wa Mtoto wenu.
 
Muda utasema na aliingiaje bwenini?
Ushahidi upo au? Inaonekana mdogo wako anatabia zisizo faa(ngoja nitumie lugha nzuri sasa) wakati wenzake wanakimbizana na kuingia prepo yeye anashika ndoo kwenda bafuni kuoga, wakati wenzake wame concentrate na kitabu yeye anapita anaburuza miguu na kuwatoa wenzake

Mazingira yanaonesha anapenda kuwa wa kipekee kwa sababu anajazwa kiburi na wazazi wake ndugu n.k.

Huyu mdogo wako nakuambia siku zabusoni atajuta yeye pamoja na ndugu zake na hakutakuwa na muda wa kusahihisha makosa tena. T'llbe too late.

Muda utaongea kama ulivyo sema
 
Huyu dogo nae anatafuta kiki au huruma ya jamii,
Why asingeenda kwa kwa wazazi wake? Why usiende mripot police soon, sasa saizi hata evidence hazipo, anatafuta tu wa kufa nae, ila hakuna kitu atasema kitaaminika tena,
Anataka kumwangushia mwanaume mwenzetu jumba bovu cha ajabu Kuna wanaharakati uchwara wakiume watamnyanya huyu ticha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…