Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Boss boss.
Huyu ni mtoto wa kike tena mdogo, hili tukio kama kweli alibakwa, akaumia, huoni hasira na chuki inaweza kumpa hasira ya kufanya maamuzi yasiyo sahihi?

Hujawahi kukasirika ukafanya masmuzi mabovu?
Usiteteee hapa ujinga, mtu wa 4m 5 ana utoto gani? Hajui akibakwa nini anatakiwa kufanyaaa?? Ndo atorokee kwa baba josee?

Muacheni mwalimu wa watu, khaaaah.
Litoto limechezea ukuni wa mchoma mkaa mwezi mzima, leo mwalimu wa watu aende jelaa kisa nn??

Nakerekwaaa mnooo.
 
Alimtaja Jimmy ili aliko kwa baba jose atanue vizuri, hivi kubakwa ndo atorokee na aende kwa baba josee mwezi mzimaa?

Hajui sehemu za kupeleka case?? Acha kutetea ujinga wa huyo mwanafunzi.
Mmmh Coca tuliza kichwa vizuri.
Hakuna mahala iliandikwa popote kuwa alikaa kwa baba Jose mwezi mzima...labda uweke ushahidi hapa.
1. Baba Jose ametajwa na mama muuza genge alipokutwa Ester

2. Baba Jose haijulikani kuwa ni kweli alimla mtoto ama laah, mtoto hajakiri popote kuwa alikuwa kwa baba Jose
 
Huyo mtoto wako mshauri aache umalaya. Ilikuwaje akakimbilia kwa muuza mkaa badala ya kukimbilia nyumbani kwao? Kawadanganye wajinga wenzako huko!
 
Kwa nini hakukimbilia nyumbani kwao?
 
Huyo mtoto wako mshauri aache umalaya. Ilikuwaje akakimbilia kwa muuza mkaa badala ya kukimbilia nyumbani kwao? Kawadanganye wajinga wenzako huko!
Nawe pia nineugundua ujinga wako.

Kuna kioengele cha wazazi kuoewa maelekezo kama igizo namna ya kuongea na waandishi wa habari, unafikiri kwanini iwe hivyo?
Mbona hili hulisemi?
 
Hilo li Esther limletee baba jose wake tumuhoji kwani, afu.ndo aanze kuongea upumbavu wake, PCB imemshinda ana kazi ya kutaka kuharibu maisha ya watu khaaah

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limalayaa liloacha kufanya mtihani na kukimbiliaa ukuni, kwanza hata hao wanao muhoji hawana kazii, ni kulichapa viboko had aseme baba jose aliko. Pumbaavuuuu
 
Ungekua mzazi sidhani ungeongea hivi...nikuache ufurahishe moyo wako
 
yani hapo watadeal na ester tu huyo mwalimu watamsahau,, ni kweli wanafunz hawaaminik lkn kwann mwl.jimmy? ifike pahali haki ya kusikilizwa iwepo ata kam mwl ni mkubwa kuliko mwanafunz but wote Wana haki sawa.
Aletwee baba jose kwani, ndo atasema yotee. Muacheni mwalimu wa watu ebooooh.
 
FORM fpur alitoroka kufataa dyudyuuu...leoo mwalimu jimmy kaipitishaa kwa juu tuu demu akaona hatosheki kaifata kwa baba jose mwezi mzimaa yupo kwa mwanaumeee kama angekuwa katendewa ubayaa angeenda kwao ni UMALAYAAA TU
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Li Esther limalaya lilokubuhuu linatafuta mwalimu wa watu aende jela kisa ukahabaa wakee, halina hata aibu wala wogaa khaaah
Coca...ukiliwa bila ridhaa utafurahia?
 
Li Esther limalaya lilokubuhuu linatafuta mwalimu wa watu aende jela kisa ukahabaa wakee, halina hata aibu wala wogaa khaaah
Limalaya tu hilo litoto, ....,Baadala ya kwenda hospital /police kupima shahawa kama ushahidi, linaenda kwa baba jose Kuongezea shahawa zingine tena juu....,Afu eti form 5PCB.....,Nashauri shule imfukuze shule na imshtaki kwa kuichafua shule/Mwl Jimmy.
 
Je wewe mtoa uzi unaamini aliyosema huyo mwanafunzi yana ukweli?.kama je aliamua kuacha shule je?.kama kweli aliingiliwa kimwili na huyo mwl.jimmy kwanini hakuripoti kwenye uongozi wa shule?.kama kweli shule ina ukuta alipotajwa getini je mlinzi alihojiwa?.mwisho kwanini hakurudi nyumbani kwao kwenda kutoa taarifa?.
 
Hili litaleta maafa, si kila mzazi anaweza kuzibwa mdomo kwa pesa wala vitisho.

Mimi najijua kuwa kwenye utu huwa sina bei.

Nitakupoteza fasta bila woga
Afu baba jose mpaka Sasa hajulikan
Boss boss.
Huyu ni mtoto wa kike tena mdogo, hili tukio kama kweli alibakwa, akaumia, huoni hasira na chuki inaweza kumpa hasira ya kufanya maamuzi yasiyo sahihi?

Hujawahi kukasirika ukafanya masmuzi mabovu?
 
Assumptions zako ni kuwa kila alichosema Esther ni kweli na hakina chembe ya uongo.

Mambo huenda hatua kwa hatua na sio kila hatua wewe ujulishwe huku mtaani, acha sheria ifuate mkondo wake.

Kwa wale waliopata wasaa wa kukaa na kuwalea hawa watoto mashuleni wanajua vituko vyao.

Haya mambo hayahitaji hasira, yanahitaji utulivu wa hali ya juu sana na sio pressure kutoka kwa watu.

Wacha wahusika watimize wajibu wao kiuweledi.
 
Mkuu yaani nashangaaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…