Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Hata JWTZ uhakiki umefanyika, ila ulifanyika privatelly.

Hawa ndugu zetu polisi vyeti vyao (copy) zilichukuliwa Kwa ajili ya uhakiki. Hivyo sio kwamba hawakuhakikiwa, Ila tu kwenye list ya fake hawakuwekwa. Jeshi la ulinzi ndio hawakuhakikiwa, hivyo sishangai orodha ya fake polisi ikitolewa, jeshi la ulinzi ndio tusahau
 
Naombeni msaada kwa yeyote anayefamu hizi taarifa za Mercury!!

Hakika Magu ni shida,

List za polisi wenye vyeti feki zimeanza kutumwa vituoni, mkoani Kilimanjaro list zimeshawasili na vituo vimeshaanza kupokea orodha hizo angalieni kwa wakuu wa vituo vya polisi maeneo mlipo sasa hapa sijui watafanyaje maana, walipokuwa wana hakiki wengine walisema viko mbali vijijini sasa leo list imekuja wameandikiwa hawana na kuombwa waviwasilishe kama imekosewa kuandika kuwa hawana, huu ndio ule mziki tuliokuwa tunausubiria, walioomba kuhakiki hawakujua kuwa kuambiwa viko vijijini maana yake havipo sasa imekuwa kazi kweli, hadi sasa kuna mmoja namfahamu hayupo ana wiki amepotea sasa huenda alipata fununu kuwa kihama kinakuja sijui atafanyaje, kama kuna wanao ongoza kwa mikopo ni hawa ndugu zetu, haya mikopo italipwaje sasa, nyumba zitauzwa au dah Mungu wasaidie.
Sio jambo rahisi kwa huyu JPM kuingilia majeshi athari yake ni kubwa mno, it's impossible labda mleta mada atupe clear source of information na list ya wahusika!
 
Ni orodha ya polisi wenye vyeti fake au orodha ya wenye vyeti fake kupelekwa polisi ili wachukuliwe hatua?
 
Hawa ndugu zetu polisi vyeti vyao (copy) zilichukuliwa Kwa ajili ya uhakiki. Hivyo sio kwamba hawakuhakikiwa, Ila tu kwenye list ya fake hawakuwekwa. Jeshi la ulinzi ndio hawakuhakikiwa, hivyo sishangai orodha ya fake polisi ikitolewa, jeshi la ulinzi ndio tusahau
Huko jeshini tusahau kabisa yaan
 
Kuna watu mawazo yao mgando, wanaamini kuwafukuza askari wenye vyeti feki ni hatari kwa taifa hili, huku wakisahau kuwa;
1.Hawatimuliwi na bunduki wakiwa nazo mfukoni.
2. Tanzania maduka ya silaha hayazidi 3, na kumiliki silaha ni mlolongo mrefu mpaka ukome na maskini haruhusiwi.
3. Wanaofukuzwa si wengi ukilinganisha na wanaobaki ambao wanalipwa mshahara,posho, na wanaidhini ya kutumia silaha.
4.Wanaofukuzwa hawataishi ndani ya familia moja, watatawanyika na kila mmoja kuelekea kwake.
5.Nguvu ya askari iko katika kitambulisho/idhini na silaha.

I know what am talking about.
Mkuu nakuona upstairs unaonekana uko vzr
 
Waliopo Moshi waulize vituo vya polisi wapate uhakika, unafikiri utaweka list hapa jaribu uone watakushukia kwa kuwaanika wenzio wanapokea kimyakimya ww una waanika, ndo maana nilisema kama unamfahamu aliyeko kituo chochote kwa kuanzia kilimanjaro fuatilia ila usiende na kiherehere unaweza ukamkuta unayemuuliza ni mhusika sasa sijui itakuwaje hapo fuatilia tayari, wilaya moja wapo kituo kinao wasio pungua 9
Taarifa za kuokoteza peleka fb, hujui unachoongea
 
Naombeni msaada kwa yeyote anayefamu hizi taarifa za Mercury!!


Sio jambo rahisi kwa huyu JPM kuingilia majeshi athari yake ni kubwa mno, it's impossible labda mleta mada atupe clear source of information na list ya wahusika!
Hawezi, anajua kuwa misemo yake ya sijalibiwi, not to that extent etc inasimama kwa nguvu za majeshi, mbona hakusema hayo alipokuwa waziri huko nyuma? He knows for sure the value and the dangers ahead of entertaining favorably/unfavorably the majeshi!
 
You should not make such an underrating of these would be victims!
Hajui anachoandika, anadhani mawazo yake ndo uhalisia. Watu 50 tu wamesababisha kanda maalum Rufiji iweje watu 300?
 
bora afande sele yy alistaafu mapema cku iz anajiita mfalme tu au simba zee
 
Back
Top Bottom