Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

Usikute labda hawakupenda kuitwa Wahuni. Maana alianza kwa kuwaita Wahuni.

Ova
 
Alivyofika mbeya airport kabla ya onyesho alisema watu wameinvest hela nyingi sana, mheshimiwa Tulia amepambana sana festival iende mbeya, alisema Zuchu akihojiwa na mwandishi habari...kwa matamshi hayo hiyo festival ilikuwa na chembechembe za kisiasa
 
Watakula walikopeleka mboga
 
Zanzibar alifungiwa akihamasisha Mambo ya Ulawiti na ushetani.....na mtu wake naye alikuwa kwa Pdidi......utajiri wao una mashaka sana.
 
Chawa kama chawa na unafiki wake......hahahaha
 
Huwaambii kitu walokole wa Tandale na tegeta kwa ndevu juu ya Israel
 
Sijaona/sikia alimpomtaja mama?!
 
Eti kanauliza kimamlaka kabisa kwanini mnanipoa kwaniniii 🤣🤣🤣 nako kanajiona kamo kwenye mfumo wa ccm
 
Angewafanyia hivi machalii wa chuga jukwaa angeshushwa akiwa anavuja damu.
huyu huyu zanzibar amewahi imba tusi zito sana wakashangilia japo basata walimuuita na kumuonya tu. sasa ipo siku atatolewa meno hasa ARUSHA ,MBEYA,MARA NA GEITA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…