Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Na itakuwa ali enjoy pia. Toka amerudi kwa Diddy ameacha kabisa kukitembeza kwa mademu.Bwanake mwenyewe ndiye huyo ameshavunjiwa yai na Pdidy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na itakuwa ali enjoy pia. Toka amerudi kwa Diddy ameacha kabisa kukitembeza kwa mademu.Bwanake mwenyewe ndiye huyo ameshavunjiwa yai na Pdidy
Machale yalimcheza akatoka ndukiWalimsamehe sana. Alipaswa apigike kabisa
🤣🤣🤣 Mkuu kuna kimtu hapo Mbeya kimefuraa balaaMachale yalimcheza akatoka nduki
Ni kosa na si salama sana kwa msanii kujifungamanisha na siasa na hasa siasa hizi za kitanzaniaMungu ibariki Mbeya
Yule njiti aka Rango🤣🤣🤣 Mkuu kuna kimtu hapo Mbeya kimefuraa balaa
Kwanini wanawake hampendaniKwahiyo hako kamti mkavu kalitaka kuwadindia wanaume wa huko jijini mbeya, alidhani ni wale kaka zake wala urojo!!! Na mchupi wake
View: https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09
Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya asiendelee
Ni utamaduni wa kiafrika na mwafika kushirikiana kila jambo kwenye jamii
Kiafrika wanasema tulie wote tucheke wote.. Ukienda tofauti na hii kanuni.. Wanakubiri pa kukupata!
Taifa liko kwenye mtanziko mkubwa wa watu kudhulumiwa uhai wao
Watu kutekwa na kuteswa mateso mabaya kabisa
Watu kutekwa na kupotezwa
Ilitarajiwa hata litoke tamko la kinafiki kutoa pole na walau kulaani haya matukio lakini ndio kwanza wako wanasema mitano tena kwa mama!
Walipaswa kujua ya kwamba mashabiki wanaowategemea kuwachangia na kuhudhuria matamasha yao ni wa
Itikadi zote
Vyama vyote
Jinsia zote nknk
Na ndio hawa wanaotekwa kuteswa na kupotezwa kila siku.. Ndio hawa hawa ambao ndugu jamaa na Watanyika wenzao wamefanyiwa yote haya.. Unategemea nini kuwaendea watu kama hawa ambao tayari umeshaonesha upande wako?
Kamati ya Wasafi Festival ina nafasi bado ya kujirudi na kuweka mambo sawa.. Mashabiki ndio kila kitu.. Wakipuuzia hili mwaka huu tamasha linaweza kuvunja rekodi ya kufanya vibaya.. Jambo ambalo ni baya sana kwa brand kubwa kama Wasafi kibiashara na kijamii
Sakata la Diddy ni kichocheo tuu cha kulipua yaliyojaa vifuani mwa watu
Ohoooo! Basi angeuwawa kabisa huyu mbwa zuchuInawezekana hicho kipengele hakijarekodiwa ila waliokuwepo eneo la tukio wanashuhudia kuwa hiyo kurusha chupa na matakataka ilianza baada ya kusema mitano tena kwa maza
Alivyofika mbeya airport kabla ya onyesho alisema watu wameinvest hela nyingi sana, mheshimiwa Tulia amepambana sana festival iende mbeya, alisema Zuchu akihojiwa na mwandishi habari...kwa matamshi hayo hiyo festival ilikuwa na chembechembe za kisiasaKwenye hizo kelele zao sijasikia neno lolote linalohusu mambo ya siasa wala bango la kisiasa kuhusu yanayoendelea kwenye siasa, sasa iweje mhusishe na mambo ya kisiasa?
Siikubali ccm ila chadema em tumieni akili aisee ipo siku mtashindwa kubeba mimba za mume zenu na kuilalamikia ccm
View: https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09
Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya asiendelee
Ni utamaduni wa kiafrika na mwafika kushirikiana kila jambo kwenye jamii
Kiafrika wanasema tulie wote tucheke wote.. Ukienda tofauti na hii kanuni.. Wanakubiri pa kukupata!
Taifa liko kwenye mtanziko mkubwa wa watu kudhulumiwa uhai wao
Watu kutekwa na kuteswa mateso mabaya kabisa
Watu kutekwa na kupotezwa
Ilitarajiwa hata litoke tamko la kinafiki kutoa pole na walau kulaani haya matukio lakini ndio kwanza wako wanasema mitano tena kwa mama!
Walipaswa kujua ya kwamba mashabiki wanaowategemea kuwachangia na kuhudhuria matamasha yao ni wa
Itikadi zote
Vyama vyote
Jinsia zote nknk
Na ndio hawa wanaotekwa kuteswa na kupotezwa kila siku.. Ndio hawa hawa ambao ndugu jamaa na Watanyika wenzao wamefanyiwa yote haya.. Unategemea nini kuwaendea watu kama hawa ambao tayari umeshaonesha upande wako?
Kamati ya Wasafi Festival ina nafasi bado ya kujirudi na kuweka mambo sawa.. Mashabiki ndio kila kitu.. Wakipuuzia hili mwaka huu tamasha linaweza kuvunja rekodi ya kufanya vibaya.. Jambo ambalo ni baya sana kwa brand kubwa kama Wasafi kibiashara na kijamii
Sakata la Diddy ni kichocheo tuu cha kulipua yaliyojaa vifuani mwa watu
Hahahaha pesa za damu zisingeenda vizuriAlivyofika mbeya airport kabla ya onyesho alisema watu wameinvest hela nyingi sana, mheshimiwa Tulia amepambana sana festival iende mbeya, alisema Zuchu akihojiwa na mwandishi habari...kwa matamshi hayo hiyo festival ilikuwa na chembechembe za kisiasa
View: https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09
Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya asiendelee
Ni utamaduni wa kiafrika na mwafika kushirikiana kila jambo kwenye jamii
Kiafrika wanasema tulie wote tucheke wote.. Ukienda tofauti na hii kanuni.. Wanakubiri pa kukupata!
Taifa liko kwenye mtanziko mkubwa wa watu kudhulumiwa uhai wao
Watu kutekwa na kuteswa mateso mabaya kabisa
Watu kutekwa na kupotezwa
Ilitarajiwa hata litoke tamko la kinafiki kutoa pole na walau kulaani haya matukio lakini ndio kwanza wako wanasema mitano tena kwa mama!
Walipaswa kujua ya kwamba mashabiki wanaowategemea kuwachangia na kuhudhuria matamasha yao ni wa
Itikadi zote
Vyama vyote
Jinsia zote nknk
Na ndio hawa wanaotekwa kuteswa na kupotezwa kila siku.. Ndio hawa hawa ambao ndugu jamaa na Watanyika wenzao wamefanyiwa yote haya.. Unategemea nini kuwaendea watu kama hawa ambao tayari umeshaonesha upande wako?
Kamati ya Wasafi Festival ina nafasi bado ya kujirudi na kuweka mambo sawa.. Mashabiki ndio kila kitu.. Wakipuuzia hili mwaka huu tamasha linaweza kuvunja rekodi ya kufanya vibaya.. Jambo ambalo ni baya sana kwa brand kubwa kama Wasafi kibiashara na kijamii
Sakata la Diddy ni kichocheo tuu cha kulipua yaliyojaa vifuani mwa watu
Chawa kama chawa na unafiki wake......hahahahaKwenye hizo kelele zao sijasikia neno lolote linalohusu mambo ya siasa wala bango la kisiasa kuhusu yanayoendelea kwenye siasa, sasa iweje mhusishe na mambo ya kisiasa?

Eti kanauliza kimamlaka kabisa kwanini mnanipoa kwaniniii 🤣🤣🤣 nako kanajiona kamo kwenye mfumo wa ccmHuu ni mwanzo wa mwisho wa Zuchu.
Watanzania tuna itikadi ya kuiga. Chances ni kubwa kwingine kokote akienda wataiga kumpopoa.
Ajishushe kidogo na kuacha kuhisi amemaliza kila kitu. Akumbuke umaaruffu wake unategemea zaidi bwana ake kuliko yeye mwenyewe.
huyu huyu zanzibar amewahi imba tusi zito sana wakashangilia japo basata walimuuita na kumuonya tu. sasa ipo siku atatolewa meno hasa ARUSHA ,MBEYA,MARA NA GEITA.Angewafanyia hivi machalii wa chuga jukwaa angeshushwa akiwa anavuja damu.