Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

Huko tuendako itafika mahali ccm watarudi kulekule kwenye kuogopa hata kuvaa sare zao
Du

kweli wazanzibar wametudharau yani SA100 katunyoshe kidole cha kati na hadi zuchu naye anafanya hivyo hivyo .
Mnataka mfanywe nini mpaka ithibitike? Maana mpaka umbwa tumeitwa
 
kuitaja CCM na mwenyekiti wao kwenye shughuli zisizohusu siasa ni ujuha wa kiwango cha nyota tano wacha yawakute ikibidi wafie jukwaani kabisa
 
Hakuwa na sababu wala haja kujibizana na uwanja mzima...

Ameonyesha weakness kubwa kushindwa ku control temper..

Waache kutumika kisiasa, hapo ni kuua career yako...
Wanajisahau Kuwa hata wanasiaaa wanawatumia ambao wako kwenye peak ya mafanikio mfano kina Marlow au afande sele hawezi kutumiwa kisiasa Kwa sasa..na umaarufu una mwisho wake mbaya sana watachanganyikiwa siku kitapokukuja kizazi Cha 2035 wao watakuwa wamesahaulika
 
Kanawafokea eti kanajihisi ni kabinti ka raisi hapo
 
Saiz bushoke hana hadhi ya kuitwa kufanya kampeni..wanatumika tu hawa muda utaongea
 
Kwanza hakikisha kichwa kina akili nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…