Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

Huko tuendako itafika mahali ccm watarudi kulekule kwenye kuogopa hata kuvaa sare zao
Du

kweli wazanzibar wametudharau yani SA100 katunyoshe kidole cha kati na hadi zuchu naye anafanya hivyo hivyo .
Mnataka mfanywe nini mpaka ithibitike? Maana mpaka umbwa tumeitwa
 
Huko tuendako itafika mahali ccm watarudi kulekule kwenye kuogopa hata kuvaa sare zao
Du

kweli wazanzibar wametudharau yani SA100 katunyoshe kidole cha kati na hadi zuchu naye anafanya hivyo hivyo .
Mnataka mfanywe nini mpaka ithibitike? Maana mpaka umbwa tumeitwa
 

View: https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09
Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya asiendelee
Ni utamaduni wa kiafrika na mwafika kushirikiana kila jambo kwenye jamii

Kiafrika wanasema tulie wote tucheke wote.. Ukienda tofauti na hii kanuni.. Wanakubiri pa kukupata!

Taifa liko kwenye mtanziko mkubwa wa watu kudhulumiwa uhai wao
Watu kutekwa na kuteswa mateso mabaya kabisa
Watu kutekwa na kupotezwa

Ilitarajiwa hata litoke tamko la kinafiki kutoa pole na walau kulaani haya matukio lakini ndio kwanza wako wanasema mitano tena kwa mama!

Walipaswa kujua ya kwamba mashabiki wanaowategemea kuwachangia na kuhudhuria matamasha yao ni wa
Itikadi zote
Vyama vyote
Jinsia zote nknk
Na ndio hawa wanaotekwa kuteswa na kupotezwa kila siku.. Ndio hawa hawa ambao ndugu jamaa na Watanyika wenzao wamefanyiwa yote haya.. Unategemea nini kuwaendea watu kama hawa ambao tayari umeshaonesha upande wako?

Kamati ya Wasafi Festival ina nafasi bado ya kujirudi na kuweka mambo sawa.. Mashabiki ndio kila kitu.. Wakipuuzia hili mwaka huu tamasha linaweza kuvunja rekodi ya kufanya vibaya.. Jambo ambalo ni baya sana kwa brand kubwa kama Wasafi kibiashara na kijamii
Sakata la Diddy ni kichocheo tuu cha kulipua yaliyojaa vifuani mwa watu

kuitaja CCM na mwenyekiti wao kwenye shughuli zisizohusu siasa ni ujuha wa kiwango cha nyota tano wacha yawakute ikibidi wafie jukwaani kabisa
 
Hakuwa na sababu wala haja kujibizana na uwanja mzima...

Ameonyesha weakness kubwa kushindwa ku control temper..

Waache kutumika kisiasa, hapo ni kuua career yako...
Wanajisahau Kuwa hata wanasiaaa wanawatumia ambao wako kwenye peak ya mafanikio mfano kina Marlow au afande sele hawezi kutumiwa kisiasa Kwa sasa..na umaarufu una mwisho wake mbaya sana watachanganyikiwa siku kitapokukuja kizazi Cha 2035 wao watakuwa wamesahaulika
 
Huu ni mwanzo wa mwisho wa Zuchu.

Watanzania tuna itikadi ya kuiga. Chances ni kubwa kwingine kokote akienda wataiga kumpopoa.

Ajishushe kidogo na kuacha kuhisi amemaliza kila kitu. Akumbuke umaarufu wake unategemea zaidi bwana ake kuliko yeye mwenyewe.
Kanawafokea eti kanajihisi ni kabinti ka raisi hapo
 
Bushoke kipindi wamoto sana kwenye tamasha la fiesta akaletaga uccm wa kumsifia jk stejini wakulungwa wakampoapoa na ndio ukawa mwisho wake ,
Moral of the story fanya ufanyavyo usikubali kupopolewa na wakulungwa stejin kwa sababu ya wanasiasa maama baada ya hapo hutoboi
Saiz bushoke hana hadhi ya kuitwa kufanya kampeni..wanatumika tu hawa muda utaongea
 
Kwenye hizo kelele zao sijasikia neno lolote linalohusu mambo ya siasa wala bango la kisiasa kuhusu yanayoendelea kwenye siasa, sasa iweje mhusishe na mambo ya kisiasa?

Siikubali ccm ila chadema em tumieni akili aisee ipo siku mtashindwa kubeba mimba za mume zenu na kuilalamikia ccm
Kwanza hakikisha kichwa kina akili nzuri
 
Back
Top Bottom