Haaahaaa[emoji1787][emoji1787]angekoma!Alihojiwa
akasema ilifika hali akawa hata mafuta ya kupaka hana Jumbe anamwambia aombe kwa wifi ajipake, akachanganaya akili akaona karibu atapewa karai achome vitumbua kibarazani.
Kajala nae mmmh mpana kama shati la lemutuz[emoji16]Haswa mama alimpenda sana CK mpaka kumtuhumu kajala kamuibia wema bwanake, dah! wamama wa mjini tabu tupu.
Uwiiii....huyo hatoagi hata mia[emoji134]...mara milioni ya fyuchaDaimond umemsahau best [emoji1][emoji1]
Sina uhakika maana hata pale kwenye mishaki alikuwa anachoma kwa kuvizia tu.Kajala nae mmmh mpana kama shati la lemuty[emoji16]
Hivi bado ck anachoma mishikikaki kule mwandege?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]weeeEti scissors[emoji23][emoji23] full ku-rub
Gari si alimpaUwiiii....huyo hatoagi hata mia[emoji134]...mara milioni ya fyucha
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana la dadake kampa huyu UBALOZI maana ana wana mjini, sijui kama ni kweli au waja wamemchoka.Haaahaaa[emoji1787][emoji1787]angekoma!
Kumbe pia duka sio lake pale mwamanyamala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ck mtoto wa Upanga ana choma mshikakiSina uhakika maana hata pale kwenye mishaki alikuwa anachoma kwa kuvizia tu.
Halafu huyo D haongangi hata umroge!Weee! mama hakuwa anamtaka hata huyo Diamond wakati ule mpunga si ulikuwa hauja changanya kama sasa, mama alikuwa anataka mwanae auze kwa mapedeshee tu.
Haikuwa kweli bwana[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...ilikuwa kukodi na kushow halafu linarudishwa yard!Gari si alimpa
Aisee! kumbe kina Tukinao walifuata status tu?1 Lakini Tukinao aliambulia gari..nasikia hata Ma water hatoi kitu na mama mkwe hampendi kabisa anadai mwanaume alikwa marehemu aliefia kwenye stuli..lakini ma water hasikii kitu now ndio maana wamekuwa karibu na baba maana mama ana tamaa kichizi.Halafu huyo D haongangi hata umroge!
Yaaaan ni bahili unaambiwa, mwenyewe wema alihadithia, anakwambia jamaa anapenda kuhongwa mbaya!
Hukumbuki mpaka wema akanyoa akawa kipara, anavaa madera full kumdanganya atamuoa ili apunguze gharama za matumizi!
That's y mama wema huwa hampendi coz anajua hajawahi kula hata mia ake
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hauzi humo...yuko yule dadaake nuruInasemekana la dadake kampa huyu UBALOZI maana ana wana mjini, sijui kama ni kweli au waja wamemchoka.
Wema alimrushia kimavi kazi akapigwa chini na kesi juu....atakula wapi sasa[emoji1787][emoji16]Ck mtoto wa Upanga ana choma mshikaki
Itakuwa kamtia hasara, yule anaweza kutoa zawadi duka zima .
Bibi kaamua kujilelea wanae tu....humuoni alivyo na hasira Tukinao coz ni ile kashajifanya bab kubwa so kulia hadharani child support ni bonge moja la damage kwake....kifuatacho kaamua kuwapiga madale family buloku na watoto kapewa kingbae[emoji16]Aisee! kumbe kina Tukinao walifuata status tu?1 Lakini Tukinao aliambulia gari..nasikia hata Ma water hatoi kitu na mama mkwe hampendi kabisa anadai mwanaume alikwa marehemu aliefia kwenye stuli..lakini ma water hasikii kitu now ndio maana wamekuwa karibu na baba maana mama ana tamaa kichizi.
Samahan hiyo avatar ni wewe?Haaahaaa[emoji1787][emoji1787]angekoma!
Kumbe pia duka sio lake pale mwamanyamala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni anavyo sikitika ? Washamuaribu mtoto wa watu kihisia sasa kageugikia dick master 3000 anaanza kulia lia oh sijui nini kimemtokea.Wacha weee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app