MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Hili ndio linalotokea hata kumruhusu kijana akapate maisha Mazuri wydad,ingekua simba hili na mchezaji mwenyewe akiwa na utayari wangekwisha fanya biashara lkn watamkomoa mtoto Mzize na kukosa fursa na ukipita hii Mzize asitegemee muujiza wakupata offer tena it happens only once in life timeWameshaanza kuingia baridi eti ndio timu kubwa hiyo,mtu hakutaki unamlazimisha
Ndiyo, wana haki ya kusikilizwa 👨⚖️Kwaiyo kama wamelalamika Awana haki ya kusikilizwa? Au mlitakaje labda? Kama wameona mchezaji kakiuka Sheria za Mpira lazima walalamike kwanini waache? Mamlaka za Mpira ndizo zitaamua kama wako sahihi ama lah na sio kuwaelekeza wafuate matakwa ya mtu kwa manufaa yake, uyo dogo ni mtu mzima na anayo menejiment yake walifanya vile kusaini sehemu mbili kwa sababu zipi?
😂😂 au sio!.malalamiko fc tulijua tu kwamba hawa wachumba wakianza tu kucheza lazima waanze kurukaruka,pointi 6 na mabao 7 mnavyoteseka sasa
Usikurupuke ukatumia ushabiki pasipo kuangalia factsMbona mnalazimisha mambo? Wao timu husika walisema wanaijua Simba na Simba ndo ilisign na Kagoma...
Eti wapokwe point 6 point 6 ya mafwi....
Wana mambo ya ajabu sana hawa watuHili ndio linalotokea hata kumruhusu kijana akapate maisha Mazuri wydad,ingekua simba hili na mchezaji mwenyewe akiwa na utayari wangekwisha fanya biashara lkn watamkomoa mtoto Mzize na kukosa fursa na ukipita hii Mzize asitegemee muujiza wakupata offer tena it happens only once in life time
Kaka umeeleze kama mtu ambae hujaenda kama umeenda bas hujaelimika kwann nakwambia hivo hiyo kesi simba hahusiki nayo direct simba ni mtu wa 4 kwenye hiyo kesi wakwanza ni yanga,wapili ni singida ,wa3 ni TFF Ambayo ilipitisha usajili wa kagoma had TMS inasoma singida yupo simba,wachezaji wote wanaocheza simba wameidhinishwa na TFF had FIFA...Muwe mnaacha mihemko ya kijinga, kwaiyo kama kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji wameona tatizo wangeacha tu wakakaa kimya? Uyo mchezaji inawezekana kweli alisaini pande zote na ndio maana suala lake limekuwa gumu, pia ni kwanini Simba walimchezesha mchezaji ambae bado wanajua usajili wake una matatizo?
Sidhani kama viongozi wa yanga na kamati yenyewe Awana akili au awazijui Sheria mpaka wakomae na kagoma aiwezekani, kama alisaini kotekote basi Sheria ifate mkondo wake na sio busara ili kutoka onto kwa wachezaji wote Wenye tamaa za kipumbavu na Simba wapokwe point ambazo mchezaji alihusika kwenye mechi walizoshinda, akuna cha msalia mtume apo!
Hawamlazimishi hili ni fundisho kufuata sheriaWameshaanza kuingia baridi eti ndio timu kubwa hiyo,mtu hakutaki unamlazimisha
Taratibu na Sheria zilizopo lazima zifuatweHapo sasa,wanapenda,kuifuatafuata Simba sana.Yaani pamoja na kujisifia but still hawajiamini
MBUMBUMBUWameshaanza kuingia baridi eti ndio timu kubwa hiyo,mtu hakutaki unamlazimisha
Mchezaji anayeidhinishwa na TFF ndiye anayeruhusiwa kutumika katika michuano rasmi, kama TFF ilivyokuwa haikumuidhinisha Awesu kwenye Charity Shield na hakutumika.Simba roho juu, huwenda waka-katwa alama ishu ya mchezaji Yusuph Kagoma kusaini Yanga kisha kuwatosa na kuibukia mitaa ya Msimbazi.
Mchambuzi na expert wa mambo ya usajili, Hans Rafael amedai kuwa Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji, Leo asubuhi imesikiliza kesi ya kiungo wa Simba Yusuph Kagoma, na kuamuru mchezaji huyo asimame haraka kuitumikia klabu hiyo.
Yanga wao wamethibitisha kuwa hawajamsamehe Kagoma, na wanataka haki ifuatwe.
Pia Yanga wanashinikiza Simba wapokwe pointi sita za ligi ambazo walizipata kwa kumtumia mchezaji batili (Kagoma) kwenye mechi dhidi ya Tabora na Fountain Gate.
Sakata hili pia lilimuibua mdau wa michezo na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba na kuzungumza uhalisia wa namna anvyofahamu sakata hili la Kagoma kusaini pande zote mbili.
Swali la kujiuliza aliwezaje kucheza mechi kama usajili wake ulikuwa na utata kuitumikia Simba SC?
Soma ==>Mwigulu awaomba viongozi wa Yanga wapotezee suala la Kagoma ili aweze kucheza Simba
Ving'ang'aMBUMBUMBU
Sheria zipi ving'ang'a tumeshawazowea,kila siku migogoro na wachezaji tuTaratibu na Sheria zilizopo lazima zifuatwe