Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
We waache waendelee kufurahia huu ujinga,kibao siku kikimgeukia mtu ndio wataelewa.,Halafu kama umenoti humu JF,kama Uzi umeanzishwa wachangiaji wa kwanza wakadiss hiyo habari basi kuna wachangiaji huwa kazi Yao ni kufuata upepo tu unavyokwenda... Huyo Zumaridi hajatendewa Haki huo ndio ukweli,wangefuata tu sheria vizuri wamkamate kwa makosa yanayoeleweka sidhani kama kungekuwa na mjadala hapaKabisa! Akiguswa wanaempenda kwa kuvunja wanalia, lakini kwa mbinu ileile akiguswa wasiye mpenda wanashangilia!
Wanasahau kuwa KUNA MSEMO USEMA WAKIZOEA KUNYONGA , KUCHINJA KWA KISU WANAONA TABU!
Watanyonga kila anaekatiza