Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Kumbe na wewe ni mmoja wa yale mamisukule yaliyokuwa yanakoroma kama mazombi!!
 
Kwahiyo sheria ndo inavyosema kwamba Ukigonga asipofungua Basi LUKA UKUTA!? Je polisi sana barua yoyote ya kumuita ZUMALIDI Na kukaidi?
We msukule tu, hujui sheria, kakate mauno na Zumaridi wako
 
Nyie chekeni tu lakini akija kamatwa kiongozi wa kisiasa kwa style ileile mtakuja kunielewa!

Hatukatai makosa! Lakini sheria zinafuatwa? Makosa wanayotuhumiwa na makosa ya Jinai kweli au ya kupikwa?

AIBU TUNAIPATA MAHAKAMANI
Walipongongea mlango kwa nini alikataa kufungua?
 
Hisia zangu zipo kuna sehemu zinatumika sio kwenye kesi ya Zumaridi.. .. halafu wewe vipi? Hebu soma Uzi wote mbona kama unatafutatafuta comment zangu ndio unasoma?unanichosha bwana kurudiarudi Leo nilikuwa hapa siku nzima ulikuwa wapi?
comments zako as long ziko hapa Ni mali ya public yoyote anaruka nazo. Isingekuwa hivyo Uzi ungeishia comment ya kwanza tu. BTW ndo vinafanya Uzi usonge mbele hutaki tukujibu kaa kimya
 
nmeupitia mpaka nukta na nalifahamu Hilo sakata tokea kipindi kile afungiwe hiyo kanisa yake. Nakuuliza Tena wapi alipoonewa?
Nina comment zaidi ya kumi humu zinazoonyesha msimamo wangu. soma utapata jibu
 
nmeupitia mpaka nukta na nalifahamu Hilo sakata tokea kipindi kile afungiwe hiyo kanisa yake. Nakuuliza Tena wapi alipoonewa?
Nina comment zaidi ya kumi humu zinazoonyesha msimamo wangu. soma utapata jibu
comments zako as long ziko hapa Ni mali ya public yoyote anaruka nazo. Isingekuwa hivyo Uzi ungeishia comment ya kwanza tu. BTW ndo vinafanya Uzi usonge mbele hutaki tukujibu kaa kimya
 
Kosa sio kukusanyika, kosa ninkusafirisha watu 149.

Ndivyo hati ya mashtaka yake ilivyoandikwa.

Tusilete upotoshaji wa maksudi Hapa[emoji3525]
Kusafirisha toka wapi. wahubiri wanaosafirisha wapi kwa mabasi kwenda kusali utasema wanafanya kosa. Hivi inakuingia akilini kuwa Zumaridi anafanya human trafficking, na kasafirisha watu 149!!?
 
Polis wamesema anasafirisha watu na kuwatumikisha kinyume cha sheria wakiwemo watoto kuanzia miaka minne hadi kumi na saba, na waligundua hilo baada ya mama wa mtoto kwenda kuripoti polis kuwa mtoto wake ameachishwa shule na yupo sehem anatumikishwa kwahivo polis walikua katika ukaguz wa kawaida kwenye hiyo nyumba baada ya kupewa ishahid kuwa mtoto kafichwa humo na ndipo walipoenda kukutana na hayo maajabu ya watu kufungiwa ndani,
 
Hakuna sehemu hakuna maovu......ila sehemu nyingi ni taasisi,siyo mtu anaabudiwa kama Mungu na mambo mengi ya ajabu kinyume hata na sheria za nchi......
Kwahiyo wewe shida yako ni mfumo wa kitasisi..hayo mambo ya ajabu mbona yapo kwa kila imani..

#MaendeleoHayanaChama
 
Polisi ya Tanzania imeshamtoa mfalme damu.
View attachment 2135077
Ilitokeaje had huyu mama akatiwa jeraha usoni? Kwa vyovyote itakuwa Mfalme alijarib kuwatunishia msuli maaskari pengine akiamin lile jeshi lake la zombie lingemwitikia na kufight against soja,jambo ambalo alikosea mno.
Anticipation ya Mfalme iliyompa kujenga ukaidi naweza kudhan ndiyo ilimfikisha hapo.
Lakini huyu ni Mchungaji,alipotezea wp hekima za kawaida za kifalme had ajipate kwenye vurugu na dola?
 
Lakin huongelei yale mazombi yaliyokuwa yanakataa mfalme wao kukamatwa
Nafikir ile mara ya kwanza police walienda wakiwa na nia ya kukutana na pengine wangeweza wahojiane naye hapohapo na waende zao. Sasa hata hiyo fursa ya kumwona mfalme hawajapewa,mbaya zaidi wanatishiwa maisha yao.....hahahhaaaa!
Kwa hiyo mazombi walitarajia wajitangazie ushindi mbele ya jeshi la polisi
 
🖕🖕🖕
 
Siwapendi kabisa ma polisi wa Tanzania,ukiwachekea wanakutoa roho Hawa,kama yuleee wa Mtwara,ukute wamesikia mfalme ana hazina kwenye kasri lake....... Ila kwa nini wamemvua wigi😂😂😂😂😂?
Hawa polisi wasenge sana, wanaingia kwa mtu kama majambazi tena kwa kuruka ukuta then una mpiga mtuhumiwa bila ushaidi wowote hii nchi ni ya ajabu na isiyojali raia wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…