Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Wanaacha kuyakamata mafisadi yanayoharibu uchumi wa nchi wanamkamata mtu asiye na impact hata kwenye mtaa tu. Waone aibu.
 
Walimkamata ili kujisafisha na uharamia wa kuruka ukuta!
Lakini yule mama hakustahili hata kupigwa kipande cha Kofi!
Yule mama hana tofauti na Mwamposa anaewauzia mafuta ya nazi
 
Waganga wa kienyeji wamekukosea nini wewe brainwashed creature...yani miafrika ni mipumbafu sana dini za wazee wao sasahivi yaoaona kama ujinga..shenzi kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Waganga wa kienyeji wamekukosea nini wewe brainwashed creature...yani miafrika ni mipumbafu sana dini za wazee wao sasahivi yaoaona kama ujinga..shenzi kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
Kwani zumarid kawakosea nini
 
Walimkamata ili kujisafisha na uharamia wa kuruka ukuta!
Lakini yule mama hakustahili hata kupigwa kipande cha Kofi!
Yule mama hana tofauti na Mwamposa anaewauzia mafuta ya nazi
Vipi kesi yake inaendeleaje ama ameachiwa...kiukweli hii serikali onevu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwani zumarid kawakosea nini
Mimi kwangu sijaona kosa kwake..polisi ndio walianza ujinga wa kuruka ukuta na kuvamia eneo la watu wanasali bila kibali cha mahakama wala kuwa na mwenyekiti wa mtaa husika..walipopata resistance kutoka kwa makerubi ndio wakarudi kuonyesha ubabe wao..kumbe ujinga tu na kukosa maarifa at first place.

Huyo mama atolewe huko aje ahubiri injili watu waache maovu.

#FreeZumaridi

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwamba. Kama unaushahidi wa kutosha, katoe ushahidi huo mahakamani huyu raia aachiwe.
Sote tunajua kwamba Tanzania Kuna kesi nyingi Sana za mchongo ili tu mtu fulani aozee gerezani wakati kesi isiyo na miguu haiishi.
 
Muumini wa Zumaradi kabla hujakurupuka fanya utafiti kidogo,polisi akishapata taarifa ndani jengo kuna muhalifu au kuna uhalifu unatendeka sheria inamtaka kutumia any means kuingia na kufanikisha ukamataji nyie mkajifanya jeshi la mfulme mnataka mpigane na watu ambao idadi yao karibu elfu hamsini huko,sasa mfalme ananyea debe huko.
 
Nadhni kosa Happ nikujiita mfalme zumaradi imekuwa kero hata kwangu kwann ajite mmfalme chini ya jua

Na pia mam akiachiwa HV HV anweza kuaminisha watu ujinga sna na kufuruga jamii
 
Bado anakomolewa na police sababu kawashinda hoja,ukiwazidi hoja utumia nguvu
 
Nadhni kosa Happ nikujiita mfalme zumaradi imekuwa kero hata kwangu kwann ajite mmfalme chini ya jua

Na pia mam akiachiwa HV HV anweza kuaminisha watu ujinga sna na kufuruga jamii
Aaaah akiwa mfalme we jiite malkia
 
Umewasiliana na mlalamikaji ili ujue chanzo cha jinai?
Au unaandika tu ukifikiri hii ni jinai ya kawaida!
Utapeli wa kughilibu akili(hypnosis) inahitaji mbinu za ziada kuzikabili.
 
Umewasiliana na mlalamikaji ili ujue chanzo cha jinai?
Au unaandika tu ukifikiri hii ni jinai ya kawaida!
Utapeli wa kughilibu akili(hypnosis) inahitaji mbinu za ziada kuzikabili.
Nani alienda kulalamika kwamba kafanyiwa utapeli wa akili,si dabo standard hii sasa kwann wengine waachwe kuendelea kuwafanyia watu utapeli wa akili hata sasa yeye pekee ndo akamatwe, huoni ni wivu tu wa police kuumbuliwa walifanya Kazi kwa mazoea na si sheria?
 
Fuatilia kesi, mlakamikaji ni mzazi ambaye mtoto wake ameghilibiwa akili na alikuwa hajitambui kwa huyo mganga a.k.a Mfalme Zumaridi.
Mganga wa kienyeji, mtekaji si wa kuhurumia.
 
HV wew umependa wale vijana walio fanywa mazombi ambao walikuwa wanawatishia maskari

HV mdg wangu au ndug yangu akiwa Happ unafikiri unapenda watu wakanywajwe migongo hasaran alfu Bado tu hmuelewi
 
HV wew umependa wale vijana walio fanywa mazombi ambao walikuwa wanawatishia maskari

HV mdg wangu au ndug yangu akiwa Happ unafikiri unapenda watu wakanywajwe migongo hasaran alfu Bado tu hmuelewi
Kwann police waliingia sehemu binafsi bila kufuata utaratibu wa sheria?
 
Fuatilia kesi, mlakamikaji ni mzazi ambaye mtoto wake ameghilibiwa akili na alikuwa hajitambui kwa huyo mganga a.k.a Mfalme Zumaridi.
Mganga wa kienyeji, mtekaji si wa kuhurumia.
Alifatwa nyumbani kwake akakamatwa kwa nguvu na kupelekwa kwa zumarid?
Wa kukamata ni huyo mzazi kwann alindi mtoto wake.
 
Updates
ZUMARIDI Aiambia mahakama kwamba wakati polisi walipovamia nyumbani kwake walimpiga na kuchukua pesa kiasi cha 19milioni alizokuwa Nazo kama sadaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…