Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimkamata ili kujisafisha na uharamia wa kuruka ukuta!Yule mama wamemuonea bure, Hakuna kesi pale. Mungu ni kamilifu wala hajahitaji msaada wa mwanadamu ampiganie. Hakuna kesi pale, alichofanya ndicho waganga wa kienyeji , mitume na manabii wa uongo ndicho wanavyofanya KILA siku. Kumkamata yeye pekee na kuacha kuwakamata waganga wa kienyeji ni uonevu na dabo standard.
Hakuna guts ya kesi pale Hakuna ushahidi dhidi ya tuhuma ya human trafficking pale hata tu kwa wakili bush lawyers.
Waganga wa kienyeji wamekukosea nini wewe brainwashed creature...yani miafrika ni mipumbafu sana dini za wazee wao sasahivi yaoaona kama ujinga..shenzi kabisa.Yule mama wamemuonea bure, Hakuna kesi pale. Mungu ni kamilifu wala hajahitaji msaada wa mwanadamu ampiganie. Hakuna kesi pale, alichofanya ndicho waganga wa kienyeji , mitume na manabii wa uongo ndicho wanavyofanya KILA siku. Kumkamata yeye pekee na kuacha kuwakamata waganga wa kienyeji ni uonevu na dabo standard.
Hakuna guts ya kesi pale Hakuna ushahidi dhidi ya tuhuma ya human trafficking pale hata tu kwa wakili bush lawyers.
Kwani zumarid kawakosea niniWaganga wa kienyeji wamekukosea nini wewe brainwashed creature...yani miafrika ni mipumbafu sana dini za wazee wao sasahivi yaoaona kama ujinga..shenzi kabisa.
#MaendeleoHayanaChama
Vipi kesi yake inaendeleaje ama ameachiwa...kiukweli hii serikali onevu sana.Walimkamata ili kujisafisha na uharamia wa kuruka ukuta!
Lakini yule mama hakustahili hata kupigwa kipande cha Kofi!
Yule mama hana tofauti na Mwamposa anaewauzia mafuta ya nazi
Mimi kwangu sijaona kosa kwake..polisi ndio walianza ujinga wa kuruka ukuta na kuvamia eneo la watu wanasali bila kibali cha mahakama wala kuwa na mwenyekiti wa mtaa husika..walipopata resistance kutoka kwa makerubi ndio wakarudi kuonyesha ubabe wao..kumbe ujinga tu na kukosa maarifa at first place.Kwani zumarid kawakosea nini
Mwamba. Kama unaushahidi wa kutosha, katoe ushahidi huo mahakamani huyu raia aachiwe.Report ya polisi haijasema hayo! Imesema amekamatwa kwa kusafilisha binadamu? Jiulize hao binadamu Zumalidi kakutwa nao anawapeleka wapi kwenye wapi kwa maslahi gani hadi iwe jinai?
Watu wanaweza kukusanyika kwa mtu kufurahi ,kusali au kufanya msiba, je ni kosa watu kukusanyika kwa mpendwa wao?
Muumini wa Zumaradi kabla hujakurupuka fanya utafiti kidogo,polisi akishapata taarifa ndani jengo kuna muhalifu au kuna uhalifu unatendeka sheria inamtaka kutumia any means kuingia na kufanikisha ukamataji nyie mkajifanya jeshi la mfulme mnataka mpigane na watu ambao idadi yao karibu elfu hamsini huko,sasa mfalme ananyea debe huko.Mimi kwangu sijaona kosa kwake..polisi ndio walianza ujinga wa kuruka ukuta na kuvamia eneo la watu wanasali bila kibali cha mahakama wala kuwa na mwenyekiti wa mtaa husika..walipopata resistance kutoka kwa makerubi ndio wakarudi kuonyesha ubabe wao..kumbe ujinga tu na kukosa maarifa at first place.
Huyo mama atolewe huko aje ahubiri injili watu waache maovu.
#FreeZumaridi
#MaendeleoHayanaChama
Bado anakomolewa na police sababu kawashinda hoja,ukiwazidi hoja utumia nguvuMimi kwangu sijaona kosa kwake..polisi ndio walianza ujinga wa kuruka ukuta na kuvamia eneo la watu wanasali bila kibali cha mahakama wala kuwa na mwenyekiti wa mtaa husika..walipopata resistance kutoka kwa makerubi ndio wakarudi kuonyesha ubabe wao..kumbe ujinga tu na kukosa maarifa at first place.
Huyo mama atolewe huko aje ahubiri injili watu waache maovu.
#FreeZumaridi
#MaendeleoHayanaChama
Aaaah akiwa mfalme we jiite malkiaNadhni kosa Happ nikujiita mfalme zumaradi imekuwa kero hata kwangu kwann ajite mmfalme chini ya jua
Na pia mam akiachiwa HV HV anweza kuaminisha watu ujinga sna na kufuruga jamii
Umewasiliana na mlalamikaji ili ujue chanzo cha jinai?Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika!
Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!
Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.
MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,
Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.
SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU
Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)
Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?
Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.
Tukiachana na mbinu ya ukamataji!
Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!
Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!
Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusali pamoja imekuwa kosa la jinai?
Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?
Zumalidi kasafirisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?
Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?
Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,
INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!
Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!
TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!
Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuluka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!
Nani alienda kulalamika kwamba kafanyiwa utapeli wa akili,si dabo standard hii sasa kwann wengine waachwe kuendelea kuwafanyia watu utapeli wa akili hata sasa yeye pekee ndo akamatwe, huoni ni wivu tu wa police kuumbuliwa walifanya Kazi kwa mazoea na si sheria?Umewasiliana na mlalamikaji ili ujue chanzo cha jinai?
Au unaandika tu ukifikiri hii ni jinai ya kawaida!
Utapeli wa kughilibu akili(hypnosis) inahitaji mbinu za ziada kuzikabili.
Fuatilia kesi, mlakamikaji ni mzazi ambaye mtoto wake ameghilibiwa akili na alikuwa hajitambui kwa huyo mganga a.k.a Mfalme Zumaridi.Nani alienda kulalamika kwamba kafanyiwa utapeli wa akili,si dabo standard hii sasa kwann wengine waachwe kuendelea kuwafanyia watu utapeli wa akili hata sasa yeye pekee ndo akamatwe, huoni ni wivu tu wa police kuumbuliwa walifanya Kazi kwa mazoea na si sheria?
HV wew umependa wale vijana walio fanywa mazombi ambao walikuwa wanawatishia maskariNani alienda kulalamika kwamba kafanyiwa utapeli wa akili,si dabo standard hii sasa kwann wengine waachwe kuendelea kuwafanyia watu utapeli wa akili hata sasa yeye pekee ndo akamatwe, huoni ni wivu tu wa police kuumbuliwa walifanya Kazi kwa mazoea na si sheria?
Kwann police waliingia sehemu binafsi bila kufuata utaratibu wa sheria?HV wew umependa wale vijana walio fanywa mazombi ambao walikuwa wanawatishia maskari
HV mdg wangu au ndug yangu akiwa Happ unafikiri unapenda watu wakanywajwe migongo hasaran alfu Bado tu hmuelewi
Alifatwa nyumbani kwake akakamatwa kwa nguvu na kupelekwa kwa zumarid?Fuatilia kesi, mlakamikaji ni mzazi ambaye mtoto wake ameghilibiwa akili na alikuwa hajitambui kwa huyo mganga a.k.a Mfalme Zumaridi.
Mganga wa kienyeji, mtekaji si wa kuhurumia.
UpdatesAlifatwa nyumbani kwake akakamatwa kwa nguvu na kupelekwa kwa zumarid?
Wa kukamata ni huyo mzazi kwann alindi mtoto wake.
Umeyasikia mapya hukoUkweli wa dhahiri