Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Kamanda Ziro anaongoza jeshi la waliofeli kidato cha nne, au ni sawa na wewe kuteuliwa kiongozi wa wagonjwa wa mirembe.

Matarajio ya wananchi ni majanga kuzidi zaidi kuliko unafuu.
 
Nakubaliana nawe kwa maana ya ukiukwaji wa sheria ila mfalme wako anakashfu imani za watu wengine kitu ambacho kinaweza sababisha uvunjifu wa amani
Hili nawewe umelitoa wapi,mbona Polisi hawajalisema?
 
Mbona umekomaa Sana na huyo mungu wako zumaridi? Au wewe no mmoja wa wale bodyguards?
Tatizo la watanzania ni kushangilia! Bila kuangalia sheria! Kama ZUMARIDI NA MBOWE watakamatwa hivyo! Wewe malala hoi itakuwa na haki gani?

Kuna ugumu gani kufuata sheria wanapokamata jinai na ikadhibitika jinai?
 
Kuna watu nilitoka kuwaambia kwenye thread ya kumnyea Zumridi kuwa hana kosa na mnafanya makosa.wakaniambia mm ni member wa mfalme na nimeacha kubishana nao baada ya kujua wanatetea madhehebu yao.

Hata yesu aliteswa na kusurubiwa kwa amri ya viongozi wa dini hata hakimu hakuona kosa (kwa kuwa imani ya mtu haiingiliwi na mamlaka za serikali) ila viongozi wa dini na wafuasi wao wakalazimisha. Kilichomkuta Yesu ndicho kinachomkuta huyu dada japo yesu alikutwa kwa mapana zaidi.
 
Policcm ni tatizo..Amesafirisha. Watu mara Wametokea maeneo Maeneo mbalimbali
 
Kama mimi na wewe hatufahamu huyo Zumaridi anasafirisha kina nani toka wapi kwenda wapi tuwaachie polisi wafanye kazi yao, unaonekana umekuja kulalamika bila kuwa na uthibitisho wa malalamiko yako
 
kwa kitendo cha kuwatuma wale sijui ni mazombi sijui mare nini! alitaja pale kwenye clip lazima mambo yangemchachia tu maana serikali ingeonekana imedharaulika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…