Fuatilia mafundisho yake usipoliona hilo ujue wewe ni kati ya wafuasi wake? Tumia akili yako sio kila kitu mpaka uambiwe na polisiHili nawewe umelitoa wapi,mbona Polisi hawajalisema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia mafundisho yake usipoliona hilo ujue wewe ni kati ya wafuasi wake? Tumia akili yako sio kila kitu mpaka uambiwe na polisiHili nawewe umelitoa wapi,mbona Polisi hawajalisema?
Naunga mkono hoja hiiWachungaji wote mi naona matapeli tu
Mharifu hawi mharifu hadi pale itakapothibitika!
Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!
Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.
MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,
Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.
SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU
Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)
Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?
Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.
Tukiachana na mbinu ya ukamataji!
Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!
Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!
Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusali pamoja imekuwa kosa la jinai?
Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?
Zumalidi kasafilisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?
Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?
Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,
INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!
Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!
TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!
Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuluka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!
Kwa kudanganya
Kwa kukusanya watoto wa wenyewe akawafuga kama mbuzi
Kuhubiri upumbavu
Kujipatia kipato kinyume na sheria
Kuwatumikisha watu na kuwafanya mabwege
Kujifananisha na Mungu
Soma Katiba utajifunza mengi
Usisahau kusoma Vitabu Vitakatifu pia
Mtuhumiwa hawi muhalifu hadi ikithibitishwa vinginevyo.Mharifu hawi mharifu hadi pale itakapothibitika!
Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!
Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.
MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,
Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.
SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU
Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)
Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?
Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.
Tukiachana na mbinu ya ukamataji!
Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!
Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!
Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusali pamoja imekuwa kosa la jinai?
Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?
Zumalidi kasafilisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?
Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?
Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,
INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!
Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!
TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!
Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuluka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!
Ujinga huondolewa na watu kupewa ELIMU mbona kuna wachungaji wengine wanawauzia maji kwa bei ya jumla kama mafuta ya upako na hawakamatwi? Mama wa watu kaona kuliko kudanga anahubiri wanamkamatia nini? Nani kalazimishwa kusali pale?
Mkuuu nawewe ni mfuasi wa huyu mtu?? Au ni Miongoni mwa wale Zombies wa juzi waliorekodiwa?Amendanganya jambo gani?
Anawafuga kwa muda gani..je kama walikua wagonjwa wamekuja kuombewa.
Upumbafu gani amehubiri
Je amenyanganya au kuua ili kujipatia vipato?
Kuwatumikisha kinamna gani..je ulithibitisha ni mabwege kwa kipimo gani?
Kujifananisha na mungu kwa namna gani je unamjua mungu mpaka useme amefanana naye?
Naomba unijibu hayo maswali..laa utakua na conflict of interest na mfalme zumaridi mungu chini ya jua.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Report ya polisi haijasema hayo! Imesema amekamatwa kwa kusafilisha binadamu? Jiulize hao binadamu Zumalidi kakutwa nao anawapeleka wapi kwenye wapi kwa maslahi gani hadi iwe jinai?
Watu wanaweza kukusanyika kwa mtu kufurahi ,kusali au kufanya msiba, je ni kosa watu kukusanyika kwa mpendwa wao?
Bado mleta mada ana hoja ya msingi, kuna uvunjwaji mkubwa kwenye ukamataji watu, kwa nini polisi aliyevaa kiraia aruke ukuta kuingia kwako? Je mwenye nyumba akiamua kum shoot?? Kwa nini ukamataji usifanyike kwa kufuata sheria na taratibu? Pili kama huu mfumo wa aina hii ya ufunguaji mashtaka itaendelea basi hata wewe Kuna siku utabambikiwa kesi kwamba umeiba kifaru kama yule mwanakijiji kule ukraine [emoji12][emoji12]Ila aache maigizo ya kijinga sasa
Wachungaji wote mi naona matapeli tu
Kuna sheria kavunja hapo??Nakubaliana nawe kwa maana ya ukiukwaji wa sheria ila mfalme wako anakashfu imani za watu wengine kitu ambacho kinaweza sababisha uvunjifu wa amani
Walikuwa na wameongozana na Mwenyekiti wa mtaa??Halafu siyo kila kitu lazima muingize siasa. Polisi waligonga, ila watuhumiwa wakagoma kufungua. Kwa mazingira kama hayo unataka waachwe? Hii chuki kwa Polisi itakuua usipokuwa makini.
Watu wako too Emotional hadi wasitambue HAKI YA MTUHUMIWABado mleta mada ana hoja ya msingi, kuna uvunjwaji mkubwa kwenye ukamataji watu, kwa nini polisi aliyevaa kiraia aruke ukuta kuingia kwako? Je mwenye nyumba akiamua kum shoot?? Kwa nini ukamataji usifanyike kwa kufuata sheria na taratibu? Pili kama huu mfumo wa aina hii ya ufunguaji mashtaka itaendelea basi hata wewe Kuna siku utabambikiwa kesi kwamba umeiba kifaru kama yule mwanakijiji kule ukraine [emoji12][emoji12]
Zingatia kanuni za uandishi. Pia elewa matumizi sahihi ya herufi "l" na "r".Mharifu hawi mharifu hadi pale itakapothibitika!
Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!
Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.
MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,
Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.
SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU
Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)
Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?
Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.
Tukiachana na mbinu ya ukamataji!
Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!
Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!
Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusali pamoja imekuwa kosa la jinai?
Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?
Zumalidi kasafilisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?
Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?
Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,
INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!
Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!
TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!
Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuluka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!
Kukamatwa ni hoja? Ngoja waende mahakamani ndiyo utajua kwamba wanatumia rasilimali za taifa efficiently? Ndiyo yale ya TAKUKURU unakamata na kufungua kesi Mia moja mwisho wa siku unashinda tano. Kumbuka hizo 95 ni fedha ya umma imeketekea hapo.Sheria ipi?
Hawa wapuuzi wakamatwe maana wanawafanya watu kuwa wajinga wazembe na wapumbavu... She deserved hiyo treatment kuharibu watoto wa watu si sawa
Ahukumiwe iwe fundisho kwa matapeli wa mfano wake
PGO tabu sanaMharifu hawi mharifu hadi pale itakapothibitika!
Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!
Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.
MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,
Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.
SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU
Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)
Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?
Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.
Tukiachana na mbinu ya ukamataji!
Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!
Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!
Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusalia pamoja imekuwa kosa la jinai?
Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?
Zumalidi kasafilisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?
Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?
Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,
INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!
Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!
TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!
Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuruka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!