Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

dmkali mwanangu... kwa hili la huyu Mchungaji na Unguli wako hapa JF unajidhalilisha bure tu. Ungekuwa wewe ndie RPC wa Mwanza ukatuma Vijana wakaishia kurekodiwa na kufanyiwa ule ujinga na yale mazombie ungwfanyaje?

Kumbuka tayari kuna watoto hawaendi kuanza Form I wamefungiwa ili wawe Zombies.

Naaaamini wengi wetu tungekuwa Askari baada ya zile fujo za Mara ya kwanza next time kwenda kuwakamata ingetokea nini?

Polisi wamefanya kazi nzuri mnooooooo. Sitaki kusema mleta mada ni miongoni mwa hao misukule, lkn niseme amejishushia heshima kusapoti ule ujima wanaofanyiwa hao mnaita mazombie, ile siyo kuabudu bali ni watu wamefanyiwa dhuluma ya akili
 

Tofautisha cult na kanisa ninvitu viwili tofauti. Kuna kitu serikali inataka kufanya ili kuzuia Mambo Kama ya Jim Jones na David Koreish kutokea Tanzania. Ila watu hawajaielewa Sana.

Cult nyingi huanza kwa kuwa na makambi na kukusanya watu sehemu moja baadae ndio hutokea.

Kasome historia ya cult ya Jim Jones na David Koreish ndio utaelewa. Walianza hivi hivi lakini mwishowe maafa yalikuwa mabaya.
 
Kwa kudanganya
Kwa kukusanya watoto wa wenyewe akawafuga kama mbuzi
Kuhubiri upumbavu
Kujipatia kipato kinyume na sheria
Kuwatumikisha watu na kuwafanya mabwege
Kujifananisha na Mungu
Soma Katiba utajifunza mengi
Usisahau kusoma Vitabu Vitakatifu pia

Amendanganya jambo gani?

Anawafuga kwa muda gani..je kama walikua wagonjwa wamekuja kuombewa.

Upumbafu gani amehubiri

Je amenyanganya au kuua ili kujipatia vipato?

Kuwatumikisha kinamna gani..je ulithibitisha ni mabwege kwa kipimo gani?

Kujifananisha na mungu kwa namna gani je unamjua mungu mpaka useme amefanana naye?

Naomba unijibu hayo maswali..laa utakua na conflict of interest na mfalme zumaridi mungu chini ya jua.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtuhumiwa hawi muhalifu hadi ikithibitishwa vinginevyo.
 
Kwa jangiri kama hilo Police nawatetea kabisa,kama nawewe ni muumini basi jua Police wanajaribu kukufumbua macho kuwa huyo SI kiongozi wakanisa Bali ni jambazi linalotumia dini
 
Ujinga huondolewa na watu kupewa ELIMU mbona kuna wachungaji wengine wanawauzia maji kwa bei ya jumla kama mafuta ya upako na hawakamatwi? Mama wa watu kaona kuliko kudanga anahubiri wanamkamatia nini? Nani kalazimishwa kusali pale?

Mbona unalazimisha Mambo ya uongo. Kuna mchungaji gani anauza maji na mafuta. Tofautisha manabii na mitume na wachungaji usiwachanganye kapu moja.

Wanaouza mafuta Ni mitume na manabii. Na serikali imeingia Kati na Sasa mitume na manabii kujiandikisha na kuwa na umoja wao.
 
Mkuuu nawewe ni mfuasi wa huyu mtu?? Au ni Miongoni mwa wale Zombies wa juzi waliorekodiwa?

Tuweke utani pembeni sisi watu Weusi tumepoteza dira kwenye masuala mazima ya kuabudu kwa sasa tunfanya mazingaombwe tu.
 
Hata Jim Jones alitetewa hivi hivi Tena alijenga Hadi mji lakini mwishowe alichokifanya dunia haitasahau. Tuchukue hatua mapema kabla halijatokea la kutokea. Watu wanafanywa mazombie wewe unatetea be human kidogo wale nao Ni binadamu wanahitaji kulindwa.

 
Ila aache maigizo ya kijinga sasa
Bado mleta mada ana hoja ya msingi, kuna uvunjwaji mkubwa kwenye ukamataji watu, kwa nini polisi aliyevaa kiraia aruke ukuta kuingia kwako? Je mwenye nyumba akiamua kum shoot?? Kwa nini ukamataji usifanyike kwa kufuata sheria na taratibu? Pili kama huu mfumo wa aina hii ya ufunguaji mashtaka itaendelea basi hata wewe Kuna siku utabambikiwa kesi kwamba umeiba kifaru kama yule mwanakijiji kule ukraine [emoji12][emoji12]
 
Kama wewe ulivyo tapeli. Tanzania Ina wachungaji wangapi?. Unawafahamu wachungaji wangapi?. Yani kisa Mwalimu mmoja kazaa na mwanafunzi, ninaconclude walimu wote wazinzi. Yani unashindwa kutofautisha Kati ya cult leader na mchungaji. Mitume na manabii wafanyeje uchafu wewe umekalia wachungaji wote matapeli.

Wachungaji wote mi naona matapeli tu
 
Simuungi mkono huyo zamaradi ni boya tu, duniani kote hakuna aliyejuu ya serikali yoyote ile never, sasa anajifanya anamiliki mazombi walikua wanamwangalia tu, nyambaf walitakiwa wawavue nguo kabisa ninaniineeer zao
 
Nakubaliana nawe kwa maana ya ukiukwaji wa sheria ila mfalme wako anakashfu imani za watu wengine kitu ambacho kinaweza sababisha uvunjifu wa amani
Kuna sheria kavunja hapo??
 
Halafu siyo kila kitu lazima muingize siasa. Polisi waligonga, ila watuhumiwa wakagoma kufungua. Kwa mazingira kama hayo unataka waachwe? Hii chuki kwa Polisi itakuua usipokuwa makini.
Walikuwa na wameongozana na Mwenyekiti wa mtaa??
 
Watu wako too Emotional hadi wasitambue HAKI YA MTUHUMIWA
 
Zingatia kanuni za uandishi. Pia elewa matumizi sahihi ya herufi "l" na "r".
 
Sheria ipi?

Hawa wapuuzi wakamatwe maana wanawafanya watu kuwa wajinga wazembe na wapumbavu... She deserved hiyo treatment kuharibu watoto wa watu si sawa

Ahukumiwe iwe fundisho kwa matapeli wa mfano wake
Kukamatwa ni hoja? Ngoja waende mahakamani ndiyo utajua kwamba wanatumia rasilimali za taifa efficiently? Ndiyo yale ya TAKUKURU unakamata na kufungua kesi Mia moja mwisho wa siku unashinda tano. Kumbuka hizo 95 ni fedha ya umma imeketekea hapo.
 
PGO tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…