Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Mwamposa alisababisha hadi vifo Moshi kisa kugombania kukanyaga mafuta na sidhani kama alifunguliwa hata kesi ya manslaughter.
NAONA MWAMPOSA ANA WAWASHA SANA,
 
Sheria ya nchi inakataza wapi kumuabudu mtu?
Katiba ya JMT inaeleza wazi kuwa kila mwananchi anayo Haki ya Uhuru wa kuamini dini atakayo. Ibara ya 19 (1).
Sasa tangu zumaridi akamatwe mwezi february 2022, ninyi mna mwabudu nani?

KAMA HAMJAPATA, MIMI NIKO TAYARI.

#HAYA NIITENI MFALME ZOMBIES
 
We Nae Kama umekurupuka usingizini,hebu kapige mswaki huko
 
Katiba ya JMT inaeleza wazi kuwa kila mwananchi anayo Haki ya Uhuru wa kuamini dini atakayo. Ibara ya 19 (1).
Sasa tangu zumaridi akamatwe mwezi february 2022, ninyi mna mwabudu nani?

KAMA HAMJAPATA, MIMI NIKO TAYARI.

#HAYA NIITENI MFALME ZOMBIES
Mwanasheria msomi nakupata nakupata nguli wa vifungu
 
NIMETOA OFA, KWENU MLIO KOSA MUNGU

Wako
Mflame Zombies
Hata kama anamakosa hakustahili kufanyiwa unyama ule!
Kwani angeitwa kwa kufuata sheria kipi kingeharibika!
Sheria kama hazina kazi si bora zifutwe tunaze kuwindana
 
HAYO MAKOSA NI YAPI?
NA ULITAKA TARATIBU ZIFUATE ILI MPOTEZE USHAHIDI!
MPAKA POLISI KUFIKA PALE WALIKUWA NA TAARIFA ZENU ZA KUTOSHA.

EBU TUSEME POLISI WAMEFANYA UNYAMA, MUNGU WENU ANASEMAJE?
PAULO NA SILA WALIOMBA, MILANGO YA GEREZA IKAFUNGUKA.
SASA HUYU MUNGU, KASHINDWA NINI? SI AJITOE HUKO ALIKO SASA!
 
Hawa manabii feki wanawekaga mpunga mwingi sana majumbani
Mwao
Pesa za sadaka

Ova
 
HAYO MAKOSA NI YAPI?
NA ULITAKA TARATIBU ZIFUATE ILI MPOTEZE USHAHIDI!
MPAKA POLISI KUFIKA PALE WALIKUWA NA TAARIFA ZENU ZA KUTOSHA.

EBU TUSEME POLISI WAMEFANYA UNYAMA, MUNGU WENU ANASEMAJE?
PAULO NA SILA WALIOMBA, MILANGO YA GEREZA IKAFUNGUKA.
SASA HUYU MUNGU, KASHINDWA NINI? SI AJITOE HUKO ALIKO SASA!
Yoyote akataye mtetea huyo mfalme
Atakuwa hamnazo kichwani

Ova
 
Yoyote akataye mtetea huyo mfalme
Atakuwa hamnazo kichwani

Ova
kabisa
-Unawezaje kumuita mtu mfalme wakati ana breed
-unawezaje kumuita Mtu mungu?
HIZI TAKA TAKA NINGEKUTANA NAZO, MUDA KAMA HUU WANGEKUWA UDONGO ZAMANI SANA
 
Utu wa MTU hauondoki kwa shughuli zake, awe ni kahaba au mpiga upatu bado haiondoi utu unaohitaji sheria zifuatwe!
Mambo yake ya kiroho huna mamlaka ya kumchagulia aabuduje?
 
Hivi mnarumia vitabu gani huko ?
 
Akili zake kisoda sana anashindwa kuelewa kipimo cha utawala wq sheria ni kwenye matukio kama hayo

😂 😂 😂 Pitia zumarid Tv angalia afya ya waumini wake,
ndio utajua hata Afya yao ya Akili HAKUNA
 
Utu wa MTU hauondoki kwa shughuli zake, awe ni kahaba au mpiga upatu bado haiondoi utu unaohitaji sheria zifuatwe!
Mambo yake ya kiroho huna mamlaka ya kumchagulia aabuduje?
Zumaridi ni Mungu sio mtu yule, usijitoe fahamu
 
HAYO MAKOSA NI YAPI?
NA ULITAKA TARATIBU ZIFUATE ILI MPOTEZE USHAHIDI!
MPAKA POLISI KUFIKA PALE WALIKUWA NA TAARIFA ZENU ZA KUTOSHA.

EBU TUSEME POLISI WAMEFANYA UNYAMA, MUNGU WENU ANASEMAJE?
PAULO NA SILA WALIOMBA, MILANGO YA GEREZA IKAFUNGUKA.
SASA HUYU MUNGU, KASHINDWA NINI? SI AJITOE HUKO ALIKO SASA!
IMG_20221103_151229.jpg

IMG_20221103_151327.jpg

IMG_20221103_151310.jpg
 
Back
Top Bottom