M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,285
- 5,598
NAONA MWAMPOSA ANA WAWASHA SANA,Mwamposa alisababisha hadi vifo Moshi kisa kugombania kukanyaga mafuta na sidhani kama alifunguliwa hata kesi ya manslaughter.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAONA MWAMPOSA ANA WAWASHA SANA,Mwamposa alisababisha hadi vifo Moshi kisa kugombania kukanyaga mafuta na sidhani kama alifunguliwa hata kesi ya manslaughter.
Katiba ya JMT inaeleza wazi kuwa kila mwananchi anayo Haki ya Uhuru wa kuamini dini atakayo. Ibara ya 19 (1).Sheria ya nchi inakataza wapi kumuabudu mtu?
Polisi inahitaji reforms kubwa sanaNa ukiona MTU hataki kufuata sheria ujue yeye ndo chanzo cha uvunjifu wa sheria
Kwasababu wanaendekezwa wapuuzi wachache! Polisi inawatu makini sana lakini ndo hivyo tenaPolisi inahitaji reforms kubwa sana
We Nae Kama umekurupuka usingizini,hebu kapige mswaki hukoKatiba ya JMT inaeleza wazi kuwa kila mwananchi anayo Haki ya Uhuru wa kuamini dini atakayo. Ibara ya 19 (1).
Sasa tangu zumaridi akamatwe mwezi february 2022, ninyi mna mwabudu nani?
KAMA HAMJAPATA, MIMI NIKO TAYARI.
#HAYA NIITENI MFALME ZOMBIES
Mhuni tu yule zumaridiHIVI YULE MICHAELView attachment 2404669
JACKSON ALIYEFUFULIWA YUPO WAPI? [emoji23] [emoji23]
Mwanasheria msomi nakupata nakupata nguli wa vifunguKatiba ya JMT inaeleza wazi kuwa kila mwananchi anayo Haki ya Uhuru wa kuamini dini atakayo. Ibara ya 19 (1).
Sasa tangu zumaridi akamatwe mwezi february 2022, ninyi mna mwabudu nani?
KAMA HAMJAPATA, MIMI NIKO TAYARI.
#HAYA NIITENI MFALME ZOMBIES
NIMETOA OFA, KWENU MLIO KOSA MUNGUMwanasheria msomi nakupata nakupata nguli wa vifungu
Hata kama anamakosa hakustahili kufanyiwa unyama ule!NIMETOA OFA, KWENU MLIO KOSA MUNGU
Wako
Mflame Zombies
HAYO MAKOSA NI YAPI?Hata kama anamakosa hakustahili kufanyiwa unyama ule!
Kwani angeitwa kwa kufuata sheria kipi kingeharibika!
Sheria kama hazina kazi si bora zifutwe tunaze kuwindana
Yoyote akataye mtetea huyo mfalmeHAYO MAKOSA NI YAPI?
NA ULITAKA TARATIBU ZIFUATE ILI MPOTEZE USHAHIDI!
MPAKA POLISI KUFIKA PALE WALIKUWA NA TAARIFA ZENU ZA KUTOSHA.
EBU TUSEME POLISI WAMEFANYA UNYAMA, MUNGU WENU ANASEMAJE?
PAULO NA SILA WALIOMBA, MILANGO YA GEREZA IKAFUNGUKA.
SASA HUYU MUNGU, KASHINDWA NINI? SI AJITOE HUKO ALIKO SASA!
kabisaYoyote akataye mtetea huyo mfalme
Atakuwa hamnazo kichwani
Ova
Utu wa MTU hauondoki kwa shughuli zake, awe ni kahaba au mpiga upatu bado haiondoi utu unaohitaji sheria zifuatwe!kabisa
-Unawezaje kumuita mtu mfalme wakati ana breed
-unawezaje kumuita Mtu mungu?
HIZI TAKA TAKA NINGEKUTANA NAZO, MUDA KAMA HUU WANGEKUWA UDONGO ZAMANI SANA
Hivi mnarumia vitabu gani huko ?Utu wa MTU hauondoki kwa shughuli zake, awe ni kahaba au mpiga upatu bado haiondoi utu unaohitaji sheria zifuatwe!
Mambo yake ya kiroho huna mamlaka ya kumchagulia aabuduje?
hahaah kwahyo mkuu umeshawafanya wanajeiefu wa watu mazombi.Hao zombi ndio hawa unao wajibu
Laiti ningelikuwa mkuu wa mkoa au wilaya kule mwanza, akyanani hawa zombie wangenitambua.
Akili zake kisoda sana anashindwa kuelewa kipimo cha utawala wq sheria ni kwenye matukio kama hayohahaah kwahyo mkuu umeshawafanya wanajeiefu wa watu mazombi.
Akili zake kisoda sana anashindwa kuelewa kipimo cha utawala wq sheria ni kwenye matukio kama hayo
Zumaridi ni Mungu sio mtu yule, usijitoe fahamuUtu wa MTU hauondoki kwa shughuli zake, awe ni kahaba au mpiga upatu bado haiondoi utu unaohitaji sheria zifuatwe!
Mambo yake ya kiroho huna mamlaka ya kumchagulia aabuduje?
HAYO MAKOSA NI YAPI?
NA ULITAKA TARATIBU ZIFUATE ILI MPOTEZE USHAHIDI!
MPAKA POLISI KUFIKA PALE WALIKUWA NA TAARIFA ZENU ZA KUTOSHA.
EBU TUSEME POLISI WAMEFANYA UNYAMA, MUNGU WENU ANASEMAJE?
PAULO NA SILA WALIOMBA, MILANGO YA GEREZA IKAFUNGUKA.
SASA HUYU MUNGU, KASHINDWA NINI? SI AJITOE HUKO ALIKO SASA!