Kwani watoto si ataoa mke mwingine atapataHapo kavaa akili ya utoto.
Akumbuke kuna child support atakayotakiwa kumpa huyo mama na ni hatari kutengeneza mazingira ya chuki au uadui na mama wa watoto wako
Hatujui maana kesi ndio imeisha majuziMalezi si anatoa
Ulaya malezi ya watoto huwa wanakata kwenye mshaharaHatujui maana kesi ndio imeisha majuzi
Tulieni tuliii, si alitaka 50/50 ama?Asitafute sifa na yeye, huyo Dada si wamezaa tena Watoto wawili, anashindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto
Alikua anasubiri around Pound 70Million kutoka kwa Achraf H. Hizo ni kama zaidi ya Billion 208 za kitanzania. Just in five years, kibaya zaidi ndie aliye mstari wa mbele kuchochea tuhuma za ubakaji anazoshutumiwa kwazo dogo. Anatafuta nini?Umejiuliza kwanza ni hasara kiasi gani alikuwa anaenda kumtia?
Huyu inabidi awe mfano na uzuri mahakama za wenzetu wanatenda haki hata akichomoka akili itakuwa imemkaa vizuri
Wanasema 80% ya mshahara wake unaenda kwa Mama akeUlaya malezi ya watoto huwa wanakata kwenye mshahara
Kwenda uko unanini wewe maviii unamiliki matako tuu unijui wewe mbwaa katombwe na baba yako hakuna cha bureUkisikia yalaaaaaaaaaa...... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamiliki Smartphone, kibamia na goroli mbili wanajitokeza
Tena afe asubuhi Sababu nyie ndo mlimmaliza SamsonMtamuua dada wa watu aisee
Jamani niachieni my wanguKesi iliyoko mezani ni ya divosi na kugawana mbao 😀,,, hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari tu.
Ni kweliAtapata mzuri asie na tamaa,anayetaka kuishi na mume atunzwe sio muwaza mali
mavi yakoHatari ni kwako wewe mla ugali
you are a disgrace to your own parents. nini kinakufanya kila post unatukana? Wazazi wako walikukuza hivyo?Acha ujinga wako nani ameanza kutengeneza hiyo chuki na uadui?
Kisa ni mwanamke mnamtetea matako ya fisi nyie
ana mkataba wa kazi mkuu, the law is not that blind. Mahakama inaweza hata ikamwamuru mwajiri wake afyeke mshahara uende kwa ajili ya watoto wake.Child support atatoa nini na hana kitu? Labda bibi mtoto atoe
Huenda ni HIV victim[emoji23]Bwege yule mzee yuko kama Robot
ni kweli mkuu, hii issue ina sura nyingi sana. jamaa alianza kusaini mikataba ya kazi akiwa under 18 hivyo mzazi ni lazima asimamie mali zake. lakini sasa yuko 24, eti bado ni mtoto mali zake zisimamiwe na mzazi...mhhh. ...kwa kuwa wameanika upuuzi wao, ngoja tuone wanavyoendelea kukomoanaSasa sheria hazifanani kote ukute anataka nusu ya mali ili aitumie kama child support. Hakim hana mali ni za mama yake kisheria na anaweza kusema watoto warudi kwa mama yake walelewe kwao kama yeye anavyolelewa na mama mzazi kama na dada atasema anashindwa kuwalea bila msaada wa hakim. Mahesabu ya dada kushinda ni magumu sana
mpumbavu hawezi kuelewa hata maana ya child support. Kwa taarifa yako ulaya na marekani si kama huko kwenu tandahimba ambako unaweza ukatia mwanamke mimba kisha ukatokomea usitoe gharama za matunzo kwa mtoto. Usipofanya hivyo hata kufungwa unafungwa na siku ukitoka utalipa kuanzia siku mtoto aliyozaliwa.Wewe ni mshauri kutoka tandahimba, mapenzi hua hayapo kama unavofikiri wewe
Kwaiyo mke wake alikuwa mjinga kudai wagawane mali?Kwanza Povu linatutoka kwenye huu uzi wakati hii habari ni ya uongo [emoji1]
Hakimi hajafungua kesi ya madai dhidi ya mkewe, tumeingizwa maboya na sie tumejaa,
Tangu kesi ya Talaka sio Hakimi sio Hiba walioongea kitu, probably wanazungumza kifamilia, ila huyo Hakimi hawezi kua mjinga kiasi cha kufungua kesi kudai pesa za Mwanamke, hayo ni mawazo ya Wanaume wachovu wa Kitanzania wanaomiliki smartphone, kibamia na goroli mbili [emoji1]
Sheria ni msumeno hukata huku na huku.Asitafute sifa na yeye, huyo Dada si wamezaa tena Watoto wawili, anashindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto
Sheria ni msumeno hukata huku na huku.Eeh! Imekuwa kukomoana sasa. Lol
Ulimbukeni kivipi?Kachizi tu hako katoto,
Ulimbukeni tu